Naitafuta Vikindu Teachers College

Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
264
105
Habari za muda huu wana JF,

Naomba kujulishwa kuhusu usafiri wa kutoka DAR mpaka Chuo Cha Ualimu Vikindu,nauli ni kiasi gani na magari yanayoelekea wapi natakiwa kupanda?

Pili,kama kuna mtu anayo joining Instructions ya chuo hicho naomba aiweke hapa screenshot inayoonesha sehemu ya malipo na mahitaji kwa ujumla ili nianze kujiandaa mapema.

Kifaa ninachotumia hakina uwezo wa kufungua PDF files.

Nimechaguliwa kwenda huko kusomea ualimu elimu ya msingi na taarifa imetoka Asubuhi hii.

Asante!
 
Gari inapandiwa mbagala rangi tatu kwa nauli ya sh.500 tu,unashuka vikindu ambapo unaweza kuamua kwenda kwa either mguu au boda boda ambapo nadhani aizid 1500,kila la kher katika masomo yako
 
Asante sana
 
Nadhani maelezo uliyopewa hapo juu yanajitosheleza. Kuna la zaidi? Au pia unataka kuuliza hapo Mbagala utafikaje?
Ok, kutoka Ubungo stendi, sogea mpaka pale river side karibu na Land mark Hostel. Panda gari za Mbagala pale mpaka mwisho. Ukifika pale stendi tafuta gari za kwenda Mkuranga. Panda hizo uwaambie wakushushe Vikindu.
 
Habari za muda huu wana JF,

Naomba kujulishwa kuhusu usafiri wa kutoka DAR mpaka Chuo Cha Ualimu Vikindu,nauli ni kiasi gani na magari yanayoelekea wapi natakiwa kupanda?

Pili,kama kuna mtu anayo joining Instructions ya chuo hicho naomba aiweke hapa screenshot inayoonesha sehemu ya malipo na mahitaji kwa ujumla ili nianze kujiandaa mapema.

Kifaa ninachotumia hakina uwezo wa kufungua PDF files.

Nimechaguliwa kwenda huko kusomea ualimu elimu ya msingi na taarifa imetoka Asubuhi hii.

Asante!
Hongera sana mkuu
 
Nadhani maelezo uliyopewa hapo juu yanajitosheleza. Kuna la zaidi? Au pia unataka kuuliza hapo Mbagala utafikaje?
Ok, kutoka Ubungo stendi, sogea mpaka pale river side karibu na Land mark Hostel. Panda gari za Mbagala pale mpaka mwisho. Ukifika pale stendi tafuta gari za kwenda Mkuranga. Panda hizo uwaambie wakushushe Vikindu.
Hongera sana mkuu
Asante sana!
 
Jaman naomba kuuliza kama watu wanaripoti hata baada ya tarehe za kuripoti kuisha au wanafunga lini kuandikisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom