Naitafuta hotuba ya PLO Lumumba aliyoitoa mwaka 2014 kwenye Kigoda cha mwalimu Nyerere

Huyo profesa wenu uchwara anakopi hotuba za Obama anakuja kuwalisha watanganyika wanaozuzuka na Kiingereza!

Hizo hotuba za kihistoria hazina maana yoyote ile!

Kakariri miaka tu na majina ya machifu wa kale!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom