Naisoma Sura ya Mchapa Kazi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
a1.jpg

sura ya huyu waziri wa JPM ni tofauti kabisa alivyokuwa waziri wa JK ..HAPA ANAONEKANA KAKESHA usiku kucha akichapa kazi
 
Sura ya kazi wapi mwanangu ni stress tu zinamzeesha dada wa watu alikuwa mzuriiiiiiiiiiii......Hii awamu haifai kabisa kufanya kazi serikalini yani kila kukicha bora ya jana. ni full mastress
 
stress imp pia maana ni mashaka tupu
 
Labda alikua kwenye siku zake akasikia tumbo linamsokota.

Nawaza tu nje ya Box.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom