Sura ya kazi wapi mwanangu ni stress tu zinamzeesha dada wa watu alikuwa mzuriiiiiiiiiiii......Hii awamu haifai kabisa kufanya kazi serikalini yani kila kukicha bora ya jana. ni full mastress
sura ya huyu waziri wa JPM ni tofauti kabisa alivyokuwa waziri wa JK ..HAPA ANAONEKANA KAKESHA usiku kucha akichapa kazi
Hahaha CCM ni Ile Ile ooh ni Ile Ilehapo sio kunadili alitaka kupiga ila akashangaa limebuma fasta.
Ana nido kwlkwl safi sana
na wavimbe wapasukee...chaguo lao wenyewe
hainaga hiyo... mi mwenyewe msabatoMsabato swafi huyu