utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Kimepoteza dira Kabisa. Hakieleweki nini kinafanya. Chama kilikuwa kimekua na kukubalika vyema kabisa kwa watanzania, cha ajabu kikajichafua kwa kuchukua mafisadi na majizi yaliyokataliwa na wananchi. Pesa mbaya sana.
Sasa hivi Huku mitaani wanasema hiki ni chama cha wapigaji, ni taasisi ya kuweka na kukopa Kama zilivyo SACCOS. Tulifurahi kwa kupata chama mbadala kumbe ptuuuuu...wapigaji Dili. Sasa hivi wamebaki wazee wa Siasa siasa za matukio kinakoelekea kitakuwa chama cha kufa na kuzikana.