Naishukuru MMU, imenipatia mke........

Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
May 24, 2011
308
144
Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!
 
FINALLY!!! ila ingependeza woote muwepo hapa tuwapongeze woote.... Hongera Saana bana. (kulikua na haja ya kuandika hapo in bold??)
 
Hongera Sana Mkuu, Mungu azidi kukubariki na kukuongiza ili mfunge ndoa salama na hatimaye muwe na familia yenye amani na upendo
 
Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!

Duh that is the great news
Hongera sana mkuu na Mungu awajalie kila lililo jema katika safari yenu
yaelekea mambo matamu sana umeyapata mpaka umeamua kutangaza ndoa

BTW TF unaona mambo hayo
 
Hivyo vitamu vilivyo waunganisha vidumu milele............
 
Congrats................. Mkikorofishana usisite kuja tena.......... Japo hatuombei yatokeo na japo ndo maana halisi ya uhusiano.....
 
Naona bibie atakuwa kamdatisha kwa vitu vitamu lol!!

Duh that is the great news
Hongera sana mkuu na Mungu awajalie kila lililo jema katika safari yenu
yaelekea mambo matamu sana umeyapata mpaka umeamua kutangaza ndoa

BTW TF unaona mambo hayo

Someni PM zenu nimewajibu hizi posts... maana hapa tutachakachua (nina wasi wasi labda Cheusi Mangala ..lol)
 
Back
Top Bottom