Naishi nyumba ya kupanga, bint wa kati ya miaka 20-30 mlevi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naishi nyumba ya kupanga, bint wa kati ya miaka 20-30 mlevi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mansakankanmusa, Jun 10, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Ni miongoni mwa wapangaji jijini dsm, ninachumba kimoja tu kwenye nyumba ya familia, tunaheshimiana sana, na asilimia 100 ya wakazi wa nyumba hii wanaonja, si wanywaji sana, ila binti wa miaka kati ya hiyo nilotaja hapo juu, ni mlevi na ile pombe kwake ni balaa, inamtesa vibaya..anachanganikiwa sasa sijui bada ya kunywa akigawa beneke baadae huja na kutaka kukatisha uhai wake, wakati mwingine huwa uchi chi,

  tatizo langu ni kwamba hatulali, matukio yote ni ya usiku wa manane mpaka majogoo, mimi nashindwa kuvumilia kukesha kuokoa mlevi huyu asijiue, je niamue nisiamke? nitahama lkn je kwa sasa nifanye nini
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Una umri gani?
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hakuna cha kufanya... hama fasta hapo na acha kujifanya bingwa wa kutatua problems za watu wengine
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hama hapo, kwa nini uishi kwa kero za mtu anayefanya starehe zake?
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  Mkuu umri wake utakusaidia nini
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  naona tatizo la binti limekugusa, au roho wa utatuzi wa matatizo kakushukia?
   
 7. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Naona hilo la binti kuwa uchi linakuvutia zaidi, au unapenda uachiwe zigo zigo kwa vile unajali sana, kama kweli anataka kujia muache ajiue ili mbaki na utulivu au mpeleke polisi akapambane na Jamhuri kwa kosa la kutaka kujiua.
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mwambie landlord ampe notice maana ni msumbufu. Hauna haja ya kuamka huo ni uamuzi aliochukua yeye, angekuwa na akili aache pombe.

  Saa nyingine kuna watu ni attention seeker na labda anafanya maksudi anajua utatoka kumrescue.
   
 9. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,167
  Likes Received: 3,371
  Trophy Points: 280
  U seem very kind man, i would say save her from her kwa extent fulani akizidi tupia mbali itakua ujinga wake. "Karma is a bitch" means what u do will be done to u too.
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Unataka tukushauri nini?
  Fanya hicho unachohisi tutakushauri.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ili nijue namshaurije.
   
 12. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  anao umri wa kuweza kutia ujauzito!!!ila hayupo kingono,nadhani ungekuwa wewe ushambaka huyo mlevi!
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  naona kama vile ushaingiwa na tamaa. Mia
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaa kongoshonakupendea hapo tu
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  ushauri hauna umri, we mpe ushauri akachanganye na za kwake...
   
 16. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Asikushughulishe na vituko vyake anaetaka kujiua hasemi,na hilo kero unampa attention ndio mana ebu siku akilewa usitoke
  wala usifungue mlango akisema anajiu ndio wala usimtoke halafu uone kama atajiua..analo lake jambo mbona hajiui baa alikotoka au hasimami barabarani akagongwa na gari, ivi mpaka hapo hujamsoma kama mzushi?
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapo umepatia kabisa!
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Huna la kufanya, zaidi ya kuhama tu. huyo wa 20-30 years na mlevi kwa mwanamke ni abnormal, tena mwogope kama UKIMWI.
   
 19. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Hivi Daktari akikuuliza umri wako unamjibu kuwa utamsaidia nini?
   
 20. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  hivi mtu wa namna hii akifa sheria mahakamani ikoje hapa?>


  wanasheria tafadhali;-
   
Loading...