Nairobi: The City in the sun

Hapa Africa hakuna hata jiji moja la kufananisha na manispaa za china
Wewe hunielewi....sisemi Nairobi ni level moja Shenzhen, lakini na maanisha upana wa eneo la CBD na wingi wa majengo sababu Africa hakuna jiji lina huo mfano isipokua Nairobi
 
Wewe hunielewi....sisemi Nairobi ni level moja Shenzhen, lakini na maanisha upana wa eneo la CBD na wingi wa majengo sababu Africa hakuna jiji lina huo mfano isipokua Nairobi
Wewe unaugua ugonjwa gani Kwan?
Nairobi 5 ndio Johannesburg moja hapa unasema ina CBD kubwa pathetic
 
Sababu hataki kuamini sawa umeshinda
Mm nafutilia hii thread kwa ukaribu sana,sioni vitu vipya ni angle mnabadili tu...sioni Izo barabara mkipost zaidi ya thika highway...mnaweza jikita kwenye miundombinu walau nipate picha how far you are ,viwanda nk
 
Nairobi the most beautiful city in Africa
1096462
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom