REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,895
Ikumbukwe nairobi ina wakazi mil 3.5 ni jiji la pili kwa ukubwa baada ya Dar. Katika jiji la nairobi ndipo panapopatikana makazi holela makubwa kuliko sehemu yoyote duniani.
Kibera pekee pena umasikini ambao hamna sehemu yoyote duniani unapatikana wanakaa ambapo ubakaji, wizi, uhuni, mauaji yanatokea kwa kiwango cha kutisha na wakazi mil 2.5
Kwa mujibu wa takwimu za dunis nairobi ndio jiji lenye masikini wengi kuliko mji wowote duniani sababu ina wakazi mil 2.5 ambao wengi wao kama sio wote hawana uhakika na chakula wala chai huko kibera ambapo hakuna huduma ya maji safi, huduma za afya bora, miundombinu wala amani
Nairobi kuna wakazi laki 9 tu ambao angalau ndio wana uhakika na sahani ya chakula