Nairobi kama mtoni

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,053
20101113104359_sagging.jpg
 
mwana huu mzigo.. noma! natamani nione sura yake imekaaje
 
jamani twajidanganya tu, kumbe binadamu atisha, back to origin of Sokwes
 
Nelson Mandela katika kitabu chake "Long Walk to Freedom" anasimulia walipokamatwa na makaburu katika ile kesi iliyomfunga kifungo cha maisha, siku ya kwanza kuingizwa mahabusu walilazimishwa kuvua nguo zote. Anasema alishindwa kujizuia kucheka alipowaona viongozi wenzake wa ANC wakiwa uchi, kumbe ni tofauti sana na wanapokuwa kwenye zile 3-piece suits! Akaandika "clothes make the man!"

Imagine yule mzee aliyewaita wenzie 'kokoto' pale Jangwani unadhani akivua nguo zote atafananaje?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom