Jamani, Mwakyembe na waziri wako, naomba mpitie hapa muone jinsi Nairibo inavyofanya kupunguza foleni. hizi flyovers hata south africa sidhani kama sipo, wala cairo wala Lagos au Abuja.....mnajifunza nini?
Precisely! Lack of political will. But we ought to push 'em lazy leaders to act. And this is how you push them: Please sign the petion here: TATIZO LA UMEME: TUPATIENI 'STIEGLERS GORGE' Petitionuwezo huo tunao tatizo ni utashi wa kisiasa tuu
Hapa wanalo wazo hilo, lakini sijui watalifanya lini...angalia hapa!
Design for two Dar flyovers ready soon | In2EastAfrica
Jk aanze kujenga studio ya kisasa alizowaahidi wasanii wa Bongo Flavor kwanza.
Hizo ahadi nyingine eti sijui Kigoma kuwa Dubai na Mwanza kuwa Amsterdam of Afrika ni porojo za kampeni na ndio imetoka hadi 2014 wakati wa uchaguzi