Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

eddy25r

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
891
1,000
Nionyeshe Cloverleaf Interchange Tanzania

Cr0qb8ZWIAAKIQO.jpg
DqlkyhSXcAADRee.jpg
Na bado. Western bypass and expressway loading. ...
 
Kevin85ify

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
2,653
2,000
Tanzania: Tumejenga BRT ambayo iko dar. (Wote wanashangilia) CCM hoiyee!!

Kenya: Tutajenga commuter rail ya 400 km siyo BRT ya 21km ambayo itakuwa na msongamano kama ya Tanzania!!

Tanzania: Hamwezi kamwe hata mfanye nini!!!

Kenya : Tumeanza testing ya commuter rail phase 1 (200 km) iliyo na 5 lines na tume jenga station 10 zaidi na tumekarabati stesheni 8.

Tanzania: (Mshtuko wa moyo, roho chafu na ya kichawi inaanza) Haiwezekani!!! Iweje donor country haina commuter rail , BRT yetu hata line tatu haina na haifiki hata 60 km, sgr imekwama bado porini. (Anashikwa na wazimu na kuanza kuonyesha ujinga ya kuzaliwa akitaja kibera).

Kenya: HAHAHAHAHA, Angalia huyu mjinga kwa ujinga wake. Na bado tunaongeza ingine 200 km mwaka ujao

Tanzania: (Mashetani za mababu zao zinawapanda). Wuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiii, kibera, njaa,turkana(Na matamshi mengine ya kitoto yasiyokuwa na kichwa wala mkia).

Nani mjinga hapa?
 
komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
20,210
2,000
hiyo picha ni ya bogota siyo britain akili kidogo mdomo kubwa. Fanya utafiti kabla ya kuadika kitu. BRT yenyu imefika wapi? huku commuter rail ni 200 km phase 1 na BRT hapo dar ni km ngapi?
Huyo msee ni zuka la mwisho yani yeye huingia kw browsee alafu hu search then kitakachojitokeza tosha kwake

Usimlaumu sana mkuu, jamaa akiangalia chini ya picha pameandikwa jina flani la mji au kitu kwake ushahidi tosha..
 
kifusi boy

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
1,133
2,000
We've Dar Commuter Rail since 2012
Nauli ilianza na mtu mzima Tsh.400 na mwanafunzi Tsh.100
Kwasasa mtu mzima Tsh.500 na mwanafunzi Tsh.200
Screenshot_20201027-193233_1603816370284.jpeg
 
kifusi boy

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
1,133
2,000
Tena Commuter Rail yetu ina routes tatu...
From City Centre to Ubungo
From City Centre to Gongo la Mboto/Pugu
From TAZARA to Pugu
 
komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
20,210
2,000
Hahahaha dah ndo nimeingia muda huu nakuta umeweka upuuzi wa kufa mtu utakuta unasema show me diamond interchange, cjui round nn cjui yn unachekesha sn ww sema onesha interchange au onesha kitu fulani cz we unaweza jenga kwa mtindo huu mm nikajenga kwa mtindo ule but the same meaning, ss ngj nikiwa free ntakunyoosha leo, hahahaaa na ndo utajua kwamba Tz kuna infrastructure zipo kwenu hamna ila nyie hamna infrastructure af cc tukakosa just wait nimalize shughuli zng zen niwe free utafurahi leo
Leo eti imekua kila mtu anajenga kw mfumo wake..mbna sasa mlikua mnajitapa km sisi hatuna three level interchange

Ila dogo acha ushamba jamani interchange mbona zipo za aina nyingi
20201027_194527.jpg
20201027_194543.jpg
 
diamond d

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
772
1,000
Tanzania: Tumejenga BRT ambayo iko dar. (Wote wanashangilia) CCM hoiyee!!

Kenya: Tutajenga commuter rail ya 400 km siyo BRT ya 21km ambayo itakuwa na msongamano kama ya Tanzania!!

Tanzania: Hamwezi kamwe hata mfanye nini!!!

Kenya : Tumeanza testing ya commuter rail phase 1 (200 km) iliyo na 5 lines na tume jenga station 10 zaidi na tumekarabati stesheni 8.

Tanzania: (Mshtuko wa moyo, roho chafu na ya kichawi inaanza) Haiwezekani!!! Iweje donor country haina commuter rail , BRT yetu hata line tatu haina na haifiki hata 60 km, sgr imekwama bado porini. (Anashikwa na wazimu na kuanza kuonyesha ujinga ya kuzaliwa akitaja kibera).

Kenya: HAHAHAHAHA, Angalia huyu mjinga kwa ujinga wake. Na bado tunaongeza ingine 200 km mwaka ujao

Tanzania: (Mashetani za mababu zao zinawapanda). Wuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiii, kibera, njaa,turkana(Na matamshi mengine ya kitoto yasiyokuwa na kichwa wala mkia).

Nani mjinga hapa?
Ndio zile jointed rails, zinalia kama spana, na hii inamaana bado mpompo kwenye Diesel ages, na nilazima mfanye hivo maana sijaona kama mnatarajia kuwa na power electricity kubwa hivi karibuni, lkn pia kuwa super second hand hub in the region.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom