Naipongeza serikali kwa kufuta SDL- Skills Development Levy

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
501
1,214
Binafsi naipongeza sana serikali
Kwa kutuondolea(SDL) Skills Development Levy
Ilikuwa ni usumbufu mkubwa kwa sisi wenye vikampuni vidogo
Vyenye mitaji midogo
 
Naomba Mwenye kulijua vizuri hili alitolee ufafanuzi ili kuepuka upotoshaji wa hii aina ya kodi
 
Back
Top Bottom