Naipongeza Serikali kuzuia fedha toka nje kuingia ndani ya nchi kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu. Lengo la fedha hizo ni uovu tu, si vinginevyo

Membe ana ujasusi gani? Bado tu hamjaacha kumpa kichwa?

Hela zimezuiwa ndio maana hata wabunge wenu wana hali mbaya wengine mpka leo hawajaanza kampeni.

Hivi Mbowe yupo?
Kuna haja ya kuwaelewesha baadhi ya Watu kwamba hakuna jasusi yoyote Duniani anayeweza Ku accomplish KAZI za kijasusi peke yake..Membe was probably best agent ndani ya chain(system) imara..peke yake hawezi kuwa na impact kama inavyodhaniwa na baadhi ya Watu.
 
Duniani hasa mataifa ya afrika kinapokaribia kipindi cha chaguzi mbalimbali kwenye haya mataifa, baadhi ya makundi huingiza pesa haramu kufadhili vyama ,au makundi mbalimbali ili yaunde serikali kwa makubaliano flaniflani yenye lengo la kuweka watu wao ambao watakua -remoted.

Fedha hizo huingizwa nchini si kwa ajili ya kufanyia kampeni tu , bali hutumika pia kuandaa vikundi mbalimbali vya kihalifu kwa lengo la kufanya hujuma na mashinikizo flani yenye maslahi ya wachache na si kwa nchi husika .

Niipongeze serikali hasa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuliona hilo mapema sana .

Ifahamike vyama vya siasa , hasa vikubwa vya upinzani nchini mfano Chadema , kwa mujibu wa sheria vinapokea ruzuku kila mwezi, na pia huchangishana ,kazi ya fedha hizo ni pamoja na kuzitunza kwa ajili ya chaguzi mbalimbali ukiwemo na uchaguzi mkuu wa mwaka huu .

Inasikitisha kuona mgombea anatoka hadharani kulalamika ya kwamba pesa imezuiliwa kuingia nchini ,ooh! wafanyabiashara tuliokuwa tunawategemea wamehama nchi, ni kina nani hao waliohama nchini ?na wanapodhamini uchaguzi nini matarajio yao kama si ukwepaji wa kodi?

Suala la kujiuliza kwanini pesa hizo zije kipindi hiki cha uchaguzi ?,nani mfadhili wa hizo pesa ?anatarajia nini kwa anaowafadhili?,imani yangu kuna nia ovu dhidi ya taifa.

Uchaguzi ni mchakato wa muda mrefu wenye maandalizi ya kina yaliyoratibiwa kwa ustadi makini sana .

Namalizia kwa kusema wote ambao mnagombea ikiwa dhamira zenu ni kujinufaisha binafsi na si taifa mtashindwa kwa aibu sana
Nyie mbona mnchkua za mifuko ya jamii hamna luzuku? Mbona pia mmechangisha wafanya biashara ,hamna ruzuku?
 
Ujinga mtupu, unazuia kwa mfano bilioni moja kwa chama cha upinzani toka kwa mzungu, kisha baada ya uchaguzi serikali inapewa msaada wa zaidi ya 10b ya huyo huyo mzungu! Kama huyo mzungu anataka kupata manufaa kupitia kwa mpinzani akipata madaraka, anashindwa nini kupata hicho hicho anachokitaka kwa serikali aliyoipa 10b? Halafu unakuta watu wanaojadili huu upuuzi huko ccm, wamejaa nywele kila tundu la mwili.
Bargaining chips za serikali iliyopo madarakani sio Sawa na chama au watu wanaotaka kuchukua madaraka..ni rahisi kutoa ahadi under pressure ili upate madaraka,tofauti na ukiwa na madaraka unaweza kupima,kuchambua na kujadiliana Kwa uwazi Kwa manufaa ya Taifa zima.
 
Duniani hasa mataifa ya afrika kinapokaribia kipindi cha chaguzi mbalimbali kwenye haya mataifa, baadhi ya makundi huingiza pesa haramu kufadhili vyama ,au makundi mbalimbali ili yaunde serikali kwa makubaliano flaniflani yenye lengo la kuweka watu wao ambao watakua -remoted.

Fedha hizo huingizwa nchini si kwa ajili ya kufanyia kampeni tu , bali hutumika pia kuandaa vikundi mbalimbali vya kihalifu kwa lengo la kufanya hujuma na mashinikizo flani yenye maslahi ya wachache na si kwa nchi husika .

Niipongeze serikali hasa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuliona hilo mapema sana .

Ifahamike vyama vya siasa , hasa vikubwa vya upinzani nchini mfano Chadema , kwa mujibu wa sheria vinapokea ruzuku kila mwezi, na pia huchangishana ,kazi ya fedha hizo ni pamoja na kuzitunza kwa ajili ya chaguzi mbalimbali ukiwemo na uchaguzi mkuu wa mwaka huu .

Inasikitisha kuona mgombea anatoka hadharani kulalamika ya kwamba pesa imezuiliwa kuingia nchini ,ooh! wafanyabiashara tuliokuwa tunawategemea wamehama nchi, ni kina nani hao waliohama nchini ?na wanapodhamini uchaguzi nini matarajio yao kama si ukwepaji wa kodi?

Suala la kujiuliza kwanini pesa hizo zije kipindi hiki cha uchaguzi ?,nani mfadhili wa hizo pesa ?anatarajia nini kwa anaowafadhili?,imani yangu kuna nia ovu dhidi ya taifa.

Uchaguzi ni mchakato wa muda mrefu wenye maandalizi ya kina yaliyoratibiwa kwa ustadi makini sana .

Namalizia kwa kusema wote ambao mnagombea ikiwa dhamira zenu ni kujinufaisha binafsi na si taifa mtashindwa kwa aibu sana
1.5 trilion
 
Bargaining chips za serikali iliyopo madarakani sio Sawa na chama au watu wanaotaka kuchukua madaraka..ni rahisi kutoa ahadi under pressure ili upate madaraka,tofauti na ukiwa na madaraka unaweza kupima,kuchambua na kujadiliana Kwa uwazi Kwa manufaa ya Taifa zima.

Kaa kimya ww mjinga, wakati akina Karamagi wanasaini mikataba ya madini guest huko ulaya, walikuwa na pressure gani? Hii mikataba yote tuliyopiga kelele kuwa ni ya wizi, na Magufuli kuimba chorus za wapinzani kuwa nchi hii iliibiwa sana kwa mikataba ya kijinga, waliosaini hiyo mikataba walikuwa na pressure ya kuchukua nchi gani? Nikiwaambia acheni propaganda za kizee watu wameshaamka naona hamuelewi.

Mpaka leo nchi hii ina deni la 40t+ la hao wazungu, kwanini wasitumie hilo deni lao kupata watakacho, ila hadi watoe chini ya 5b ndio wapinzani wawape watakacho? Ingekuwa hao wazungu wanataka kuwapa wapinzani 10t, hapo tungesema kuna kitu wanataka. Hiyo hela ya mboga ndio tuseme eti wanataka wawasaidie wapinzani kuchukua nchi ili wawape raslimali? Halafu wanaume wazima mnaona mko na hoja ya maana, shubamiit.
 
KUBENEA walisema alikamatwa na $8000 na huyo msaidizi wa Membe kama Kweli wamemkamata wamemkuta na $$ ngapi?
Wakimpeleka mahakamani itajulikana. Membe alikwenda nje na ilikuwa inafahamika kwamba alikwenda kuchukua pesa, ujinga wake alimpa huyo msaidizi aingie nazo, yeye aligwaya. Huwezi kuwa na pesa nyingi bila kuzi-declare kwenye mabegi. Kumbukeni yule mkandarasi wa ile kampuni inayojenga SGR alipotaka kutorosha forex. Udhibiti wa kutoka au kuingiza pesa nyingi Tanzania umekuwa vizuri sana Membe would have known better kuliko kuanza kulialia kama katoto kadogo. JFYI nchi kubwa kama UK huwezi kutoka na zaidi ya £5000 cash unless uonyeshe proof kwamba hizo ni pesa halali na umezilipia kodi. Je, msaidizi wa Membe hizo pesa zilikuwa zake? Je, alizilizipataje? Je, alilipa kodi yoyote? BTW anatuhumiwa kwa swala la utakatishaji. Je, zilikuwa ngapi? Kisutu inamuhusu.
 
Kaa kimya ww mjinga, wakati akina Karamagi wanasaini mikataba ya madini guest huko ulaya, walikuwa na pressure gani? Hii mikataba yote tuliyopiga kelele kuwa ni ya wizi, na Magufuli kuimba chorus za wapinzani kuwa nchi hii iliibiwa sana kwa mikataba ya kijinga, waliosaini hiyo mikataba walikuwa na pressure ya kuchukua nchi gani? Nikiwaambia acheni propaganda za kizee watu wameshaamka naona hamuelewi.

Mpaka leo nchi hii ina deni la 40t+ la hao wazungu, kwanini wasitumie hilo deni lao kupata watakacho, ila hadi watoe chini ya 5b ndio wapinzani wawape watakacho? Ingekuwa hao wazungu wanataka kuwapa wapinzani 10t, hapo tungesema kuna kitu wanataka. Hiyo hela ya mboga ndio tuseme eti wanataka wawasaidie wapinzani kuchukua nchi ili wawape raslimali? Halafu wanaume wazima mnaona mko na hoja ya maana, shubamiit.
Sikutarajia ufanye argument Kwa lugha ya kudharau wengine...that say much about you.
 
Wapuuzi kweli hawa huyu aliyeanzisha huu uzi angejua kiasi cha Pesa kinachotumwa na Watanzania walio nje asingeandika huu upumbavu wake.
We mkora lini akili yako itaondoka kamasi?
 
Kaa kimya ww mjinga, wakati akina Karamagi wanasaini mikataba ya madini guest huko ulaya, walikuwa na pressure gani? Hii mikataba yote tuliyopiga kelele kuwa ni ya wizi, na Magufuli kuimba chorus za wapinzani kuwa nchi hii iliibiwa sana kwa mikataba ya kijinga, waliosaini hiyo mikataba walikuwa na pressure ya kuchukua nchi gani? Nikiwaambia acheni propaganda za kizee watu wameshaamka naona hamuelewi.

Mpaka leo nchi hii ina deni la 40t+ la hao wazungu, kwanini wasitumie hilo deni lao kupata watakacho, ila hadi watoe chini ya 5b ndio wapinzani wawape watakacho? Ingekuwa hao wazungu wanataka kuwapa wapinzani 10t, hapo tungesema kuna kitu wanataka. Hiyo hela ya mboga ndio tuseme eti wanataka wawasaidie wapinzani kuchukua nchi ili wawape raslimali? Halafu wanaume wazima mnaona mko na hoja ya maana, shubamiit.
We kapuku kila deni linataratibu zake ,hukurupuki kudai,hata Amerika inadaiwa na China matrilion pesa lakini mambo yanakwenda ,acha kuanika upumbavu wako hadharani
 
Hapa ndio nimegundua intelligence ya bongo bado ipo chini, ogopa binadamu, napenda nikuhakikishie kuwa zinaingia. ukijua mfumo unatumika utabaki mdomo wazi
Muongo mkubwa ! Mbona wanalialia hao jamaa ? Kampeni zao zimepauka kama kaniki bovu ! Wacheni mauongo bana !
 
Back
Top Bottom