Naipenda simu yangu lakini siyo katika hali hii

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
03_10_xnauu7.jpg

CITY resident searches for a lost mobile phone in the dirty stagnated water along Mandela Road in Dar es Salaam today. (Photos by Robert Okanda)
 
Hapa kazi ipo hata iwe ghali kiasi gani bana kwanza ikitoka humo ishakufa
 
Sijui simu ni yake au atakuwa ameahidiwa hela kiasi gani sasa akiungua hizo hela si zitaishia kununua dawa
 
Wasamaria walipaswa kumwambia kwamba hapo anapoteza muda kwani hata simu yenyewe ikipatikana bado itakuwa kazi bure kwani haitaweza kufanya kazi iliyokusudiwa tena.
 
Hapa kazi ipo hata iwe ghali kiasi gani bana kwanza ikitoka humo ishakufa

Wakuu unajua bado naona wengi tuna-under-look shinda za watanzania! ccm inaipeleka TZ jehenamu.... mtakuja amini siku moja...
 
Kuna mambo mengi mno hayako sawa katika hiyo picha
1. Kijana kapiga mbizi katika maji machafu
2. Maji machafu yamejikusanya katika mtaro
3. Dimbwi linaonekana ni refu sana hadi maji yanamfikia kijana mabegani
4. Mtaro hauna hata miaka kumi umeshabomoka, si kidogo si ghafla, bali taratiiiiibu hadi kutengeneza kisima!!
........................................
 
Nafikiri pale alikuwa amechuchumaa lakini lazima alikuwa anazamisha kichwa kizima wakati wa kuitafuta
 
Interesting.....sasa kama kijana kapewa dau la buku tano na yy hajui atapata wapi ugali wa cku tatu zijazo asifanye? Ukizingatia anafanya vibarua viwandani ambako risk ni kubwa kuliko.
Ccm inatengeneza lumpens ambao wote tutakuj kujuta in a neer future.

Huyu akipewa magwanda na uhakika wa msosi na AK47 haingii porini. I hate to say it but it has to be said unfortunately.
 
nadhani mdau simu yake ilikuwa kama hiyo hapo juu ndo mana alipagawa akampa kazi mlalahoi kuisaka kwenye mtaro.....A New X-Ray Mobile in Market
 
Back
Top Bottom