Hapa kazi ipo hata iwe ghali kiasi gani bana kwanza ikitoka humo ishakufa
Kuna mambo mengi mno hayako sawa katika hiyo picha
1. Kijana kapiga mbizi katika maji machafu
2. Maji machafu yamejikusanya katika mtaro
3. Dimbwi linaonekana ni refu sana hadi maji yanamfikia kijana mabegani
4. Mtaro hauna hata miaka kumi umeshabomoka, si kidogo si ghafla, bali taratiiiiibu hadi kutengeneza kisima!!
........................................