Naipenda sana hii simu: Tecno Camon 16s

Siku zote siko Judgmental but am gonna say this Mzee hatujari unatumia boring Tecno na ina 4G, come on kila mtu ana 4G na inaonekana ndio Mara yako ya kwanza kutumia simu ambayo ni cheap ila atleast iko okay. Unakuja kutangaza uku Bro we don’t give a f**ck watu wana Freaking Note 20 Ultra na hawasemi kaa kimya mzee
Unawashwa MATAKO?
 
Sasa nilete properties za simu yangu kwani mada inahusu simu yangu mpaka niweke hapa
Hii simu yako mkuu inakuumiza sana ndio maana unaona wivu kwa simu za wenzio

Keep cool tenembe.

4G speed vs 3G never compare man
Screenshot_20210509-220615.png
 
Sasa mnabishana Nini wakuu,kila mtu na brand yake Kuna mtu analichukia hata lile neno tekno,lakini pia akisikia iPhone au Samsung humwambii chochote

Cha muhimu tujifunze kuheshimu chaguzi na maamuzi ya mtu
 
Zuzu tu wewe. Hela yangu inakuumaje hata nikipigwa?. Kwa taarifa yako nimeitoa mwenyewe kiroho safi na sasa natesa na simu ya uchaguzi wangu kwa raha zangu. Roho yako ya korosho na wivu haukusaidii lolote, utakufa kihoro tu!¡

Usitoe maneno ya kishujaa, hamna anaekubali kupigwa kiroho safi ndg yang
 
Nmeamua ku get off the X by deleting my comment mana hii vita sio kitoto
 
Back
Top Bottom