Wengine hadi yawskute ya mama Naomi mnajifanyaga mnaanza maombikumbe sipo mwenyewe,hili pepo la uvivu wa maombi linitoke yarabi
Na unapoombewa je?!Maombi ni maneno anayoongea mtu na Mungu wake sasa mimi nisome yananihusu nini Eli79 nitamuombea kwa maneno yangu kadri Roho wa Mungu atakavyonijaalia
Sijaelewa swali lako shemelaNa unapoombewa je?!
Shemela, umesema kuomba ni MTU kuongea na Mungu wake... Sasa unapoombewa MTU anakuongelea Kwa Mungu wako?Sijaelewa swali lako shemela
Ndio, anaongea na Mungu kwaajili yako. Hata kama wewe hujui anaomba nini Mungu anatenda kulingana na maombi ya yule anayeombaShemela, umesema kuomba ni MTU kuongea na Mungu wake... Sasa unapoombewa MTU anakuongelea Kwa Mungu wako?
Sasa shemela, huyo anayekuombea anakuwa anaongea na Mungu wake yeye au Mungu wako wewe? Fikiria Mlokole anamuombea muislamNdio, anaongea na Mungu kwaajili yako. Hata kama wewe hujui anaomba nini Mungu anatenda kulingana na maombi ya yule anayeomba
Sasa shemela, huyo anayekuombea anakuwa anaongea na Mungu wake yeye au Mungu wako wewe? Fikiria Mlokole anamuombea muislam
Unakumbuka nilichokuambia jana kuhusu Imani? Hiyo mimi hata siwezi kuelezeaSasa shemela, huyo anayekuombea anakuwa anaongea na Mungu wake yeye au Mungu wako wewe? Fikiria Mlokole anamuombea muislam
Wanaume jeeHatimae nimesoma episode zote ila natamani hii story nzuriiii waisome wanawake wote wajf
Usaliti afanye mwingine maombi uombe mwingine haloooMarino jamani.... Hebu amuache mama Naomi, ila kupitia hii hadithi nimejifunza kumuombea mume wangu no matter what!!!!
Hakuna jinsiii....kutapunguza maumivu na kuleta internal healing!!Usaliti afanye mwingine maombi uombe mwingine halooo
Kinachopunguza maumivu ni aliefanya kosa aombe samahani na mahusiano yajengwe upyaHakuna jinsiii....kutapunguza maumivu na kuleta internal healing!!
Kwa hiyo wewe humuombei my husband wako?Kinachopunguza maumivu ni aliefanya kosa aombe samahani na mahusiano yajengwe upya
Hii kusali ni kujifariji tu kusogeza siku...unadhani kwa nini ndoa chungu..
Sasa dear ukijifariji si ndo wapata internal healing??Kinachopunguza maumivu ni aliefanya kosa aombe samahani na mahusiano yajengwe upya
Hii kusali ni kujifariji tu kusogeza siku...unadhani kwa nini ndoa chungu..
hata huyo fadhili mwisho wa siku yangekua kama haya tu bora wangeyamaliza na mumewe halaf mume akajirudi vibaya sana angerudisha moyo nyuma wanaume hawakomolewi
Namuombea.,ila kwny usaliti asee am solee kiapo cha ndoa na ye anacho..apambaneKwa hiyo wewe humuombei my husband wako?