Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,975
Hata nikiwa Juma ambaye sijawahi kuingia msikitini kwako ni shida?Mimi siwezi, kitu cha kwanza ninachoangalia kwa mtu ni imani
Hata nikiwa Juma ambaye sijawahi kuingia msikitini kwako ni shida?Mimi siwezi, kitu cha kwanza ninachoangalia kwa mtu ni imani
Juma kote huko? Hata ukiwa James ambaye hujawahi kuingia kanisani unakatwaHata nikiwa Juma ambaye sijawahi kuingia msikitini kwako ni shida?
Hotelini pia haiwezekani...ujifungie siku 2 huonani na mtu wala huli.??..Utagongewa tu mlango..Watahisi kuna tatizo..angetumia akili akalale hata hotelini kuliko kurudi kwake
Bratan..Unatakiwa upate mwanamke kama huyoHii episode ni ya kuomba, dadeq! Wanawake mtuombee sana, hiyo ni sehemu ya majukumu yenu, mtuombee tu!!
Unataka kuomba nn..Vingine unaweza kuniomba mm nikakupa..Coco babe santee
Acha niingie kwenye maombi mama saimoni shikamoo.
Kuna wengine wamejifunza kudanga kupitia story hii..Naona sisi na wake zetu hatukauki kusoma hii story, inafundisha sana kwa sababu binadamu huwa tuna kasumba ya kutoka nje ya mstari.
Kina mama Karisa wapo wa kutosha kwenye jamii zetu, mwanamke akishindwa kuchagua marafiki mwisho wake ndoa inaota mbawa...
Mke..Kutelekeza watoto na kudanga sio kosa??Mama D alichokosea ni kutelekeza kazi na kujiingiza kwenye ushirikina ila safari hii yatamtokea puani sio kwa maombi yale ya mama Simon
Bratan, umpate wapi wa kukuombea na kuiombea familia kwa sasa? Hawa jamaa wanasahau kuwa kutuombea na kuombea familia zao ni moja ya majukumu yaoBratan..Unatakiwa upate mwanamke kama huyo
Teh teh! Ты прав!!Kuna wengine wamejifunza kudanga kupitia story hii..
Teh..Ubaguzi huo..Mbinguni utapasoma kwenye magazeti..Juma kote huko? Hata ukiwa James ambaye hujawahi kuingia kanisani unakatwa
Yaani wanawake mnauwana wenyewe....
1. Asipozimwaga Siri zako nje basi....
2. Atakushauri usikubali nawe chepuka au kaanze maisha yako binafsi
Niwaulize wanawake wote ndani na nje ya JF.... UNALIPIZAJE KISASI KWA KUGEGEDWA NJE..??? HIVI UNAJUWA unapomkomesha mumeo Kwa kugongwa kisirisiri bila yeye kujua, UNAMKOMESHA YEYE AU WEWE MWENYEWE..??? YAANI UNAMKOMESHA MTU ASIYEJUA KWAMBA ANAKOMESHWA...!!¡
Halafu cha ajabu anayekushauri kuachana na mumeo YEYE ANAYASEMA HAYO AKIWA KWA MUMEWE...!!!
Alikuwa anatafuta furaha walau ya muda mfupi aliipata, yule hayawani baba D angemuuaMke..Kutelekeza watoto na kudanga sio kosa??
Wanasema wao ni haki yao kuchepuka, hutakiwi kuchukia wala kuwaulizaMbona huongelei juu yenu.. ukidakwa na mke inakuwaje.. unamuacha mchepuko au unaendelea nae? Kwanini unachepuka.. unamkomoa nani? Kwanini hampendi na wake zenu waende kupata utamu ambao nyie hamuwapi?
Si mkubali tu unachosaka wewe huko nje upate furaha nacho mkeo anasaka.
Sio kulipiza or visasi blah blah blah.. bali ni kutafuta raha na furaha.
Mama Simon na Tilda nani zaidiCoco babe santee
Acha niingie kwenye maombi mama saimoni shikamoo.
Hii story muisome na muielewe, ina mengi sana ya kujifunza hasa wanawake, dada zetu, wake zetu.....nimeguswa sana nikamkukumbuka my ex wife,,,,,duh Mungu msamehe alipo......in deep hii iko ktk maisha yetu kabisa....sana tuu....wanawake ache kuwa na marafiki wanafiki,,,,,muombeni Mungu ktk Christ Yesu mupate marafiki wema.....mkisali mmaanishe,,,mna nguvu KUU na ya ajabu,,,hamuitumii mnataka shortkati.....kumdhalilisha mmeo, kutangazia kila ubaya.....kwenda kwa waganga,,,,,,,wanawake MTUPONYE , tunawapenda sana hamjui tuu....
Wanasema wao ni haki yao kuchepuka, hutakiwi kuchukia wala kuwauliza
Siku hizi wamejazwa na roho za kushindana na waume zaoBratan, umpate wapi wa kukuombea na kuiombea familia kwa sasa? Hawa jamaa wanasahau kuwa kutuombea na kuombea familia zao ni moja ya majukumu yao
Hahahah nimuombee mr wangu na familia yangu, ebu niambie cha kukuomba ww unipe.Unataka kuomba nn..Vingine unaweza kuniomba mm nikakupa..