Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Naye angetafuta mchepuko wake ale kimya kimya huku anafuta mdomo. Huwezi kupambana na mwanaume mwishowe mwanamke anaambiwa vumilia maisha yasonge.Kwa sasa kamuweka kama sio mke wa mtu.. eeeh titasubiria.
Hata humu JF lazima atawasoma.
Kuhusu kurudi kwa mumewe akimua kutorudi sawa tu.. si kwa kumtenda yale live mbele ya mchepuko.. na home alikuwa mke mwema anaweka mambo sawa kwa moyo wake wote kama mke na mama anayejua majukumu yake.. baba d akamuona ni boring. Wanaume kama humpendi tena mkeo bora kuelezana muachane kurudiana inakuwa na chances kubwa kuliko mtu kukaa na kumbukumbu ya live actions.
Hata Mungu aliongelea uzinzi.. kwanini mwanamke afe augue magonjwa eti kisa mwanaume na hawaachani.. kuachsna pia kwa wengine ukutana na Neema na Baraka tele tele mbeleni.. upo eeeh
Hapo mama dii ndio ataonekana mmbaya sana ndoa ikivunjika jaamii itaelewa hivyo hawatakumbuka machungu aliyopata mwanzo aibu zote zitakuwa kwake ndio mazingira ya livyo