Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

Kwa sasa kamuweka kama sio mke wa mtu.. eeeh titasubiria.

Hata humu JF lazima atawasoma.

Kuhusu kurudi kwa mumewe akimua kutorudi sawa tu.. si kwa kumtenda yale live mbele ya mchepuko.. na home alikuwa mke mwema anaweka mambo sawa kwa moyo wake wote kama mke na mama anayejua majukumu yake.. baba d akamuona ni boring. Wanaume kama humpendi tena mkeo bora kuelezana muachane kurudiana inakuwa na chances kubwa kuliko mtu kukaa na kumbukumbu ya live actions.

Hata Mungu aliongelea uzinzi.. kwanini mwanamke afe augue magonjwa eti kisa mwanaume na hawaachani.. kuachsna pia kwa wengine ukutana na Neema na Baraka tele tele mbeleni.. upo eeeh
Naye angetafuta mchepuko wake ale kimya kimya huku anafuta mdomo. Huwezi kupambana na mwanaume mwishowe mwanamke anaambiwa vumilia maisha yasonge.
Hapo mama dii ndio ataonekana mmbaya sana ndoa ikivunjika jaamii itaelewa hivyo hawatakumbuka machungu aliyopata mwanzo aibu zote zitakuwa kwake ndio mazingira ya livyo
 
Maneno ya busara sana haya, ikiwezekana yaongezwe kwa Tilda katika yale amwambiayo Mama Dii
Naye angetafuta mchepuko wake ale kimya kimya huku anafuta mdomo. Huwezi kupambana na mwanaume mwishowe mwanamke anaambiwa vumilia maisha yasonge.
Hapo mama dii ndio ataonekana mmbaya sana ndoa ikivunjika jaamii itaelewa hivyo hawatakumbuka machungu aliyopata mwanzo aibu zote zitakuwa kwake ndio mazingira ya livyo
 
Fadhili huyu hapa
FB_IMG_1560279094950.jpeg
 
Unaweza yatumia hayo maombi yake na kuwa na imani.. na utajikuta unajiongeza mwenyewe kufatia na maishani kwako kuyaombea ukiwa upitwi na ya kuomba pia mida uliyopanga.

Tilda amefungua wengi kwa kweli..
Mimi mwenyewe amenifungua kwa kweli, kumbe naombaga juu juu sana, Mungu nisaidie niwe na roho ya uombaji kama Tilda
 
Sitaki kuamini siku yangu nzima Leo imetekwa na Mama D mpaka nikaunguza chakula jioni, Good Lord..!! hata sijui nilikuwa wapi nimekuja kwa kuchelewa namna hii..!
Ooooops' ila story tamu hasa.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom