Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

Cha muhimu marino afungue biashara yake kutumia pesa ya fadhili, amchune daniel pesa ya kiwanja ikiwezekana aanze na ujenzi kisha apeleke matunguli kanisani

Huyu atafulia na kukumbuka ana makaratasi ya weka signature.. ataenda kumpigia magoti mumewe.. eeeeh na kukuta labda Sarah karudi..

Kwa maombi sioni hayo.. kaweuka ana hata biz p
Ukoo wa mama Naomi wao ni full matusi tu,nadhani ni wale watoto waliozaliwa na kukulia uswahilini

Ha ha haaaaaaaa kuna wa uzunguni pia wako hivyo hivyo.. malezi na watokapo waliowatangulia yanachangia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom