Naipenda JF kuliko navyompenda demu wangu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,550
44,702
Hii kitu Ni ukweli Si masihara.nikiambiawa nichague kimoja Cha kubaki nacho Kati ya jf au mpenzi Basi Mimi nitachagua JF.kwa sababu inanipa vitu ambavyo mwanamke hawezi kunipa.inanifanya nitambe mtaani na mtaani kwetu kijiweni hapa hakuna mwenye ID Ni Mimi tu.inanifanya nivimbe JF Kuna madini buana.nikitaka kuingia naingia chap sio Kama demu wangu nikitaka kumwingia analeta mapozi mengi mpk subira inaisha.nakuletea similarities na differences between jf na kipenzi changu maria.naona demu wangu hanifundishi chochote Ila JF Kuna vitu deep wakati kwa demu wangu na uhakika yupo shallow.jf itazidi kuvuma mpk wakati usio na kipimo wakati demu wangu atazeeka siku moja.jf inaniongezea maarifa lakini demu wangu naona Kama ananimalizia tu akili maana kila siku nakuwa mkubwa Ila akili ndo zinazidi kuisha. kwa hiyo nimalizie kwa kusema ingekuwa jf inazalishwa Basi ningeitia mimba.naipenda sana hii kitu JF
 
jaribu kupata maumivu ya msichana akisoma ujumbe kama huu ulioandikwa na mwanaume.!

jaribu kumthamini msichana wako mzee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom