Naipenda Chadema...

Dopas

JF-Expert Member
Aug 14, 2010
1,151
392
Wapendwa JF, niseme wazi kuwa naipenda Chadema, hadi sasa pamoja na misukosuko inayokumbana nayo SIONI chama mbadala ya kuingia Ikulu hapo ccm itakapoaga ikulu, lakini jambo moja ninalo amini ni kuwa chadema haitaingizwa Ikulu na wasomi, wala na mitandao, bali na watanzania wenye uchungu na Nchi yao, na wananchi wa kawaida hususan wa vijijini... Kwa sababu hiyo kwa yanayotukia sasa, chadema tuendee taratibu sana, la msingi, na la kwenda kwa spidi kubwa ni kuwaelimisha haraka wananchi, hasa wa vijijini, kuwaelimisha, sio kuwalazimisha wakubaliane na hali fulani. Adui anaweza kutumia mwanya huu kujinufaisha. Nawasilisha..
 
Wananchi tumeishaelimika, tutaichagua CHADEMA 2015. CCM tumeichoka, miaka 52 bado hospital hazina dawa, walimu wamekuwa watumwa katika kazi yao, rushwa kila kona. Akina Kapuya wanabaka na kuambukiza ngoma hawakamatwi, Kinana anaharamia Tembo wetu hakamatwi, Rizimoko anauza dawa za kulevya na kutuingiza kwenye mikataba 27 na wachina baada ya kudakwa. Yaani CCM ukoo wa panya ni majanga, hakuna jambo hata moja zuri wametufanyia watanzania. CCM haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza
 
Hizi ndo thread zinazoachwa na moderators, nyingine za kupinga chadema zinatolewa, hongereni
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom