Naipa pongezi bodi ya mikopo ya elimu ya juu iendelee vivyo-hivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naipa pongezi bodi ya mikopo ya elimu ya juu iendelee vivyo-hivyo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jilanga, Aug 2, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa mara ya kwanza kuwapongeza HESLB kwa kutuingizia hela ya field hata wale ambao hawakuwa na field! Nasema hivyo kwa sababu first year wanaofanya kozi nyingine tofauti na Education imekuwa magumashi kupewa hela ya field mpaka mwaka wa pili, Ila mwaka huu wamegutuka wakati watu wapo mahome kwao kwa kukata tamaa ya kufanya field bila hela.

  Lakini kwani walikuwa hawatupatii na hali wanatukopesha? TANZANIA BILA MAANDAMANO INAWEZEKANA?

  Nawakilisha!
   
 2. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera saana ata kwa kuwa mawazo ya shukran nadhan kwa hilo wamekukuna na ndio Tanzania unayoitaka
   
 3. Bwai

  Bwai JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 467
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Nahisi watakuwa wamefanya makosa coz hela ya field ni kwa wanaotakiwa kwenda field tu.
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ee bwana ni kweli hayo unayoyasema? Me niko BAPRM 2 huenda kitu kipo ndani ya box.! Ngoja niende atm nikacheck kama mzgo upo.!
   
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Jitafutieni kazi za ziada, hiyo bodi inawachelewesha!
   
Loading...