Naionea huruma sana CHADEMA

Ni lini CHADEMA waliongoza nchi mpaka wakagawana vyeo kwa upendeleo?kama anavyofanya Magu ambaye kwenye utawala wake amejaza watu wa kanda ya ziwa na ameweka rekodi ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake.
Mmesahau kuwa hata kwa pwan wabunge wa viti maalumu ni wachaga hata mwenyekiti wahiyo kanda ni mchaga sumaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kinyume chake. Kiki zenu chama cha makinikia na misifa ya M/k wenu imeikosti taifa. Badala yakuleta upuuzi kama huu hapa mngetafakari kwanza namna yakuwataka radhi Watanzania kwa majanga mliowasababishia kwa makusudi. Ila kwakuwa sio jadi yenu kuwa wakweli na waungwana kwa maovu mnayoyatenda sintowashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakalipe madeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hurma yako yako inatokana na kutokuelewa essense ya multparty democracy.wanaoelewa umesikia walichokiongea huko afrika kusini japo wanamagamba wenzio.
 
Hiyo ni kinyume chake. Kiki zenu chama cha makinikia na misifa ya M/k wenu imeikosti taifa. Badala yakuleta upuuzi kama huu hapa mngetafakari kwanza namna yakuwataka radhi Watanzania kwa majanga mliowasababishia kwa makusudi. Ila kwakuwa sio jadi yenu kuwa wakweli na waungwana kwa maovu mnayoyatenda sintowashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imeikosti taifa kitu gani? Na majanga yapi yaliyotukuta? Hebu tuondolee akili zako za kuambiwa humu tunataka watu wenye kufikiri kwa kutumia akili zao.

Ok fine kwakuwa mimi nina akili za kuambiwa na walioniambia wako humu watakuja kukujibu. Ila endeleeni kujipa moyo. Time will tell na uje humu humu kuthibitisha akili zangu zakuambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo CHADEMA unayoionea huruma ni ipi? Sisi tunaendelea na siasa tukiwa CHADEMA na hatujakoma. Mbona CDM huku kwetu ipo hai sana, au wewe watokea wapi bwana? Tunamsubiria huyo bwana wenu atakapotoa ruhusa tuwe kwenye majukwaa, ndipo utaiona nguvu ya umma. Time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom