Naiona nchi imechangamka.hali ya uchumi muda sio mrefu itakuwa nzuri sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,531
44,641
Kweli jamani huu ndo ukweli naona Sasa keki ya taifa inaenda kugawiwa kwa wote watanzania wafaidi rasilimali zao.jamani kazeni kamba fursa zipo kibao wanangu we angalia ubunifu wako tu na Kuwa makini na mahesabu fanya kile ambacho hakifanyiki kwa mwingine Ni yaani tembea juu ya viwango vyako kikupe HELA.kaa kijanja
 
Huyu jamaa kigeugeu sana juzi tu alisema anatamani kutoka ccm leo kaja na mpya ama kweli akili ni nywele
 
Ndege John akishakabidhiwa tu bahasha yake yenye shilingi elfu 7 ndani yake, utamgundua tu! Akicheleweshwa hata kwa siku moja tu, utamuona anavyolialia! Mara mimi nitahama ccm, mara ccm imesababisha maisha magumu mtaani!

Hueleweki kabisa wakati fulani!
 
Kweli jamani huu ndo ukweli naona Sasa keki ya taifa inaenda kugawiwa kwa wote watanzania wafaidi rasilimali zao.jamani kazeni kamba fursa zipo kibao wanangu we angalia ubunifu wako tu na Kuwa makini na mahesabu fanya kile ambacho hakifanyiki kwa mwingine Ni yaani tembea juu ya viwango vyako kikupe HELA.kaa kijanja
kweli ndo maana MMETUPORA KOROSHO ZETU BILA KULIPA MNAPIGA POROJOPOTOJO TU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom