Naiona Chadema inakuwa kama Barca vile...!!!

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,730
2,388
Ni ukweli usio na shaka kwamba kuondoka kwa Nyalandu ni pigo ndani ya CCM. Style yake ya ghafla sana imewashtua wengi, na ni style nzuri sana kisiasa kwa sababu unakuwa huwapi nafasi unaowaacha kukuandalia skendo n kukufukuza.

Uwepo wa MESSI, SUAREZ na INIESTA pale Barca, na njaa yao ya kusaka ushindi, naufananisha na combination ya Lowassa, Mbowe na Lissu. Usajili wa UMTITI, ndo sawa na usajili mpya wa leo wa Lazaro Nyalandu.

Akiongezeka Zitto Kabwe pale Chadema, itarudi ile combination hatari ya MESSI, SUAREZ, INIESTA na NEYMAR. Yan itakuwa kama Neymar karudi Barca vile...!!!

Tutegemee makubwa 2020. Hata kama CCM itashinda tena, basi goli la mkono litahusika.
 
CCM ndio ilimfanya watu wamjue huyo Nyalandu,Nyalandu kaona kuna kitu kinamfuata nyuma yake kwa mawaaa aliyoyafanya na sasa anakimbia ili baadaye aje aseme anaonewa sababu ya kuhama CCM.Nyalandu hana ukubwa au umuhimu wowote CCM wa kuifanya CCM itetemeke,yeye ni mtafuta fursa tu.Chadema ina tatizo wao wanapokea watu ama ambao wanajua wana matatizo ya ufisadi au matatizo ya kuvuta bangi na mihadarathi,najiuliza kwanini Chadema inakuwa kimbilio la watu wenye tuhuma za ajabu ajabu kutoka CCM.wakiwa CCM wanakuwa mashetani ,wakienda Chadema wanageuka malaika.kwa kuwategemea hawa CCM B akina Lowassa,Kingunge,Zero,Mahanga,Wema na sasa Nyalandu basi Chadema msahau kuongoza nchi hii,sana sana mtaongoza nchi kwa kupiga porojo JF
 
.
Naunga mkono hoja. Sina haja ya kupunguza au kuongeza shilingi hapo
 
Ni ukweli usio na shaka kwamba kuondoka kwa Nyalandu ni pigo ndani ya CCM. Style yake ya ghafla sana imewashtua wengi, na ni style nzuri sana kisiasa kwa sababu unakuwa huwapi nafasi unaowaacha kukuandalia skendo n kukufukuza.

Uwepo wa MESSI, SUAREZ na INIESTA pale Barca, na njaa yao ya kusaka ushindi, naufananisha na combination ya Lowassa, Mbowe na Lissu. Usajili wa UMTITI, ndo sawa na usajili mpya wa leo wa Lazaro Nyalandu.

Akiongezeka Zitto Kabwe pale Chadema, itarudi ile combination hatari ya MESSI, SUAREZ, INIESTA na NEYMAR. Yan itakuwa kama Neymar karudi Barca vile...!!!

Tutegemee makubwa 2020. Hata kama CCM itashinda tena, basi goli la mkono litahusika.
.
Pole sana na hat-trick zako. Huijui CCM wewe
 
Hii mitandao ina vituko!

Siasa unaziweka katika mzani wa vilabu vya soka!

Andiko lako linaonyesha hujui CCM.
 
Ni ukweli usio na shaka kwamba kuondoka kwa Nyalandu ni pigo ndani ya CCM. Style yake ya ghafla sana imewashtua wengi, na ni style nzuri sana kisiasa kwa sababu unakuwa huwapi nafasi unaowaacha kukuandalia skendo n kukufukuza.

Uwepo wa MESSI, SUAREZ na INIESTA pale Barca, na njaa yao ya kusaka ushindi, naufananisha na combination ya Lowassa, Mbowe na Lissu. Usajili wa UMTITI, ndo sawa na usajili mpya wa leo wa Lazaro Nyalandu.

Akiongezeka Zitto Kabwe pale Chadema, itarudi ile combination hatari ya MESSI, SUAREZ, INIESTA na NEYMAR. Yan itakuwa kama Neymar karudi Barca vile...!!!

Tutegemee makubwa 2020. Hata kama CCM itashinda tena, basi goli la mkono litahusika.

Watanzania bado hamjakuwa kisiasa.....angalia kindani Zaidi ili ujuwe ukweli kabla ya kuandika. Hao unaosema kina Messi wasiasa wote walitemwa walikotoka kwa sababu ya wizi, ufisadi, na kwa kuwa wameona hakuna maslahi ccm ndania ya Magufuli wamehamua kuhama kwenda kutafuta maslahi kwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom