Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Wanaccm wengi wanahisi kama chama chao kimehodhiwa na kikundi cha watu wachache hivyo kuwanyima wengi fulsa za kuonekana, kujijenga au kusikika. Kutokana na hali inavyoendelea chamani kundi kubwa la wanachama wasiokubaliana na yanayotendeka wameamua kukaa kimya wasijue la kufanya. Kwasasa ni kama wanasubiri tamko la viongozi wakubwa wasioridhishwa na mambo waseme kitu ndipo wao nao waunge mkono au kuandamana nao. Mbaya sana hata hao wakubwa inaonyeshwa wamefunikwa gubigubi na blanketi la uoga.
Nani wa kuiokoa CCM hii isipasuke vipande vipande?
Nani wa kuiokoa CCM hii isipasuke vipande vipande?