Naiombea Timu ya Taifa ifungwe na Guinea na tuendelee kufungwa mechi za Simba na Yanga mpaka tuwe na kauli moja na kuwajibika

Watanzania hamna upendo wa kweli kati yenu, upendo wenu ni wa kinafki tu. Utekaji na unyanyasaji haujaanza leo, mlikuwa wapi siku zote kukemea? Hata hili wimbi la sasa litapita na hakuna lolote mtafanya kwa sababu ya unafki wenu.

Nimemaliza.
 
Huko ni kuishiwa akili! matatizo mengine sio sababu yakushindwa vyengine,inamaana wewe ukishindwaa kutekeleza kitu fulani kwa watoto wako ndio iwe sababu wakuombee mabaya..?
MPira ni burudani, burudani ni kwaajili ya mtu ambaye ana furaha. Kwa sasa Tanzania ipo kwenye majonzi makubwa kwa sababu waliotakiwa kuwalinda wananchi wamekuwa wauaji wa wananchi.

KWa sasa, kwa yeyote mwenye mapenzi mema kwa watanzania wenzake, ni kipindi cha majonzi. Kwetu muziki, mpira, havina maana kwa sasa. Ni kipindi cha kutafakari namna gani maisha yetu yatakuwa salama wakati watawala wenye nyenzo zote wamegeuka dhidi ya uhai wa wananchi.

Kwa ndugu zetu wachezaji, ambao mpira ni biashara, mpira ndiyo maisha yao, kila anayeweza kwenda kucheza hata huko nchi jirani, ni vema wakaelekea huko.
 
Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa 🌟 ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli moja kama taifa na viongozi wawajibike.

Sina raha kutazama Mpira huku sijui Hatma Ya watanzAnia wenzetu walio potezwa na dola wako wapi hyo hamu ya Mpira naitoa wapi? ni Kiwa na uzuni?

Mwenyenzi Mungu fanya lolote hii timu ifungwe na hata hizi simba na yanga viondolewe caf championship na confedaration hadi zote kwa pmj tuwe Salam na wenzetu warudi.
ukweli nimehuzunika sana tena sana, kisa uongozi unamwaga damu ya binadamu mwenzako, mungu kakupa mali , watoto, huenda ata cheo umevipata vingi tu, ya nn kuuana tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakrkrktjtjtjtkktkrkrjtaaaaaaaaaaasnfjekkenenjrjrjjjjeejjrjrjrjrtjfjejejc
 
Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira kuficha ualifu wao na ushetani wao, sasa nasema taifa 🌟 ipigwe vzr magoli ya kutosha hadi tuwe na kauli moja kama taifa na viongozi wawajibike.

Sina raha kutazama Mpira huku sijui Hatma Ya watanzAnia wenzetu walio potezwa na dola wako wapi hyo hamu ya Mpira naitoa wapi? ni Kiwa na uzuni?

Mwenyenzi Mungu fanya lolote hii timu ifungwe na hata hizi simba na yanga viondolewe caf championship na confedaration hadi zote kwa pmj tuwe Salam na wenzetu warudi.
FT 2-1
 
Huku nikuishiwa mbinu na akili,
Unadhani simba, yanga na stars zikifungwa ndio watu wataanza kuzungumzia utekaji? Sahau hilo
 
Watanzania hamna upendo wa kweli kati yenu, upendo wenu ni wa kinafki tu. Utekaji na unyanyasaji haujaanza leo, mlikuwa wapi siku zote kukemea? Hata hili wimbi la sasa litapita na hakuna lolote mtafanya kwa sababu ya unafki wenu.

Nimemaliza.
Wewndio mnafiki
 
Back
Top Bottom