Naingia (kimaandano) mabadiliko zaid.

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Mi. Ni mgeni kujiunga ila nimeathirika zaidi kwa kuisoma JF mara kwa mara mkoo juu mazee hata cjui nlikuwa wapi siku zote na kinachonisukuma zaidi ni hii dhuluma ambayo sijawahi kuwaza kama inaweza kutokea Tanzania yetu hasa sehemu muhimu kama ya uchaguzi mkuu hapa nilipo naona kuna wazalendo waliojeruhiwa wa kutosha pamoja huko mitaani ni hivi TUNASUBIRI TAMKO LA RAIS WETU KIPENZI DK.SILAA ATOE TAMKO TUANDAMANE NA SUTI NA CHUPA YA MAJI KUONYESHA ULIMWENGU KUWA SISI TUNAOANDAMANA SIYO WAHUNI NI WATU WENYE KAZI ELIMU NA HESHIMA ZETU KATIKATI YA JAMII. Tunasubiri tamko la kimabadiliko zaidi.
 
dduuuuhhh inaelekea unamengi sana
ya kuongezea kwenye jamii hii..
milango iko wazi
karibu sana ....
lete mambo:smile-big:
 
dduuuuhhh inaelekea unamengi sana
ya kuongezea kwenye jamii hii..
milango iko wazi
karibu sana ....
lete mambo:smile-big:

Thnx. Guys. ila tushikane zaidi kama wazalando wa taifa hili vinginevyo nchii imeshauzwa kwa wachache wenye hela wasio na huruma na nchi hii na tusipojiangalia watauza mpaka wake zetu walioko majumbani mwetu kwa kuwahonga na uspika kumbe ni aina ya kummwaga sita HILI LITAWAGHARIMU NA HAWATAAMINI KINACHOWAJIA
 
Mi. Ni mgeni kujiunga ila nimeathirika zaidi kwa kuisoma JF mara kwa mara mkoo juu mazee hata cjui nlikuwa wapi siku zote na kinachonisukuma zaidi ni hii dhuluma ambayo sijawahi kuwaza kama inaweza kutokea Tanzania yetu hasa sehemu muhimu kama ya uchaguzi mkuu hapa nilipo naona kuna wazalendo waliojeruhiwa wa kutosha pamoja huko mitaani ni hivi TUNASUBIRI TAMKO LA RAIS WETU KIPENZI DK.SILAA ATOE TAMKO TUANDAMANE NA SUTI NA CHUPA YA MAJI KUONYESHA ULIMWENGU KUWA SISI TUNAOANDAMANA SIYO WAHUNI NI WATU WENYE KAZI ELIMU NA HESHIMA ZETU KATIKATI YA JAMII. Tunasubiri tamko la kimabadiliko zaidi.

Ulikuwa wapi siku zote? Uko juu sana
Karibu
Karibu
Karibu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom