Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

Pascal Mayalla, Pascal,

Cha ajabu ni kwamba Unajisahaulisha tatizo la Msingi ambalo ni Meko kutumia dola kuibana CHADEMA
Watu wanauawa (Alfonce Mawazo), watu wanapigwa Risasi (Lissu etc),haya yote umeyasahau,na bado CHADEMA ina survive.

Kama yote haya huyaoni basi utakuwa Kipofu

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Uchaguzi ni wa CHADEMA nyie ma-CCM nini kinawahusu apo,nyie mwenyekiti wenu si huwa anapita bila kupingwa?


Mkuu sio kila mchangiaji ni CCM, Watanzania wana haki ya kuhoji kila chama maana mnapopigiwa kura huwa hazichagui kwamba wewe ni wa chama gani?
 
Pasco kuna watu wa CHADEMA wanachangia uzi huu lakini awajasoma uzi mwanzo mwisho
Mwisho wa siku wanaongea maneno kama vile wamekula supu ya utumbo.

CHADEMA mmeshafanya sana harakati na mmejitangaza vya kutosha. Bandiko la Pasco linawataka mtoke uko kwenye harakati mje katika siasa za utawala na kujenga hoja.

Lakini bado mnafanya makosa yaleyale ya kukigeuza chama kama NHRC Kwa kumpa tena uongozi mbowe na Lisu
Tegemeeni anguko kubwa sana 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayala ni mmoja wa makanjanja ambao nimegundua ni zezeta kuliko Profedha Kibudi.
Shame on you

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi
1572191514899.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambe hana kosa,kwani ilikuwa lazima ashinde ?

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Uzuri ni kwamba hata yeye hakutegemea kushinda kutokana na mazingira ya Uchaguzi..

Nimejaribu kufuatilia YouTube Mkutano Mkuu kuona Kama kuna Video za Mwambe akiomba kura sijaziona, Ila Mbowe hotuba zake zoote zipo..

Naona taratibu tumeanza kuiga mbinu za Maccm na Jiwe..
Sikutegemea hili kutoka CDM .
 
Hawapati sio kwasababu hawana watu wa kuwapa kura za kutosha, ila ni kwakuwa rais hapa nchini ni Mungu na anaweza kuamua nani atangazwe mshindi. Kwa hiyo hapo huna la kujisifia kama ccm, bali sifia katiba mbovu inayoruhusu rais kufanya utashi wake kuwa ndio matakwa ya umma.
JPM kaanza kuwa Rais lini kamanda?halikuwaje kabla yeye hajawa raisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM kaanza kuwa Rais lini kamanda?halikuwaje kabla yeye hajawa raisi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabla yake hali haikuwa nzuri ndio maana kilio cha upinzani imekuwa tume huru na katiba mpya, lakini wangalau wakati huo hakukuwa na huu uhayawani wa wazi kama sasa. Jaribu kuangalia hata idadi ya wawakilishi imekuwa ikipanda kila uchaguzi unapofanyika. Unaweza kufananisha na hivi sasa ambapo mamlaka zimeagizwa zisiwatangaze wapinzani kabisa?
 
Back
Top Bottom