Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,786
- 156,908
Siku zote hukumu zenye maslahi ya kisiasa ndivyo zilivyo.Huyu ni ndugu yangu lakini ni ovyo kabisa. Ataibuka kwenda wapi? Huyu amezungukwa na utelezi kila kona, kila atakapojaribu kusimama ataanguka tu! Tena alipoteza nafasi muhimu sana. Mwinyi alimpa kila nafasi ili a-prove kwamba ana weza akashindwa, yeye apumzike tu. Ila nakubaliana naye sana kuhusu maoni yake kuhusu comments za warioba. Walichofanya akina Mwakyembe ndicho alichofanya Warioba kwenye kamati yake, alikuwa hana moral authority ya ku-criticise kamati ya Mwakyembe pamoja na mapungufu ya wazi yaliyopo.
Poleni kwa kufiwa na ndugu yenu mkuu.