Naija best hits; Most played in clubs.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Wadau,

Naombeni mdondoshe ngoma kali kutoka Naija ambazo upigwa mara kwa mara clubs na maeneo mengine ya starehe.

Kuwa free kutiririka, mimi naanza na Skelewu by Davido.
 
Kwi kwi kwi kwi ni aje weye!!!? umeamua kuuvua ubuku 7!? Hahahahahaahahahaha lol!!!

Mzee wa Buku7 umehamia huku???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wadau,

Naombeni mdondoshe ngoma kali kutoka Naija ambazo upigwa mara kwa mara clubs na maeneo mengine ya starehe.

Kuwa free kutiririka, mimi naanza na Skelewu by Davido.

Buku 7 umeona hailipi!!!
 
Kwi kwi kwi kwi ni aje weye!!!? umeamua kuuvua ubuku 7!? Hahahahahaahahahaha lol!!!

BAK,

Nitakipigania chama changu daima kwa kuwa naamini kuwa CCM ndio chama pekee chenye ajenda ya wazi ya kumkomboa Mtanzania na kumpatia maendeleo.

Ila kwa sasa tutete kuhusu burudani halafu baadae tukutane kule kwenye jamvi letu la mabishano.
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Naombeni mdondoshe ngoma kali kutoka Naija ambazo upigwa mara kwa mara clubs na maeneo mengine ya starehe.

Kuwa free kutiririka, mimi naanza na Skelewu by Davido.
Chama chetu cha mapinduzi eeh chajenga nchi- by john komba
 
Bora Hamy D uje huku tusuuze roho Siasa za kibongo full stress full kuviziana unataka Naija hits latest au hata za zamani ka za kina 2 face
 
Latest ndio safi zaidi...hasa za artists kama Timaya, Davido nk

Kuna moja naipenda mno ila jina la nyimbo silifahamu. Ila inaenda hivi kwenye chorus..oyah oyah...oyah oyah oyah oyah...kwa sasa unapigwa sana kwenye maeneo ya starehe.
 
Last edited by a moderator:
Sikonge,

Asante mkuu. Ila ningeomba unitupie moja hivi ambayo kwa sasa ina hit sana maeneo ya batani...ni ya huko huko naija na pia inaenda hivi kwenye chorus... am not so sure, nina ninali........hayah hayah..hayah yaya yaya yaya...

Mkuu nadhani unamaanisha Touching body ya J Martins
 
Last edited by a moderator:
Huna jipya wewe wala hujitambui, labda siku za usoni utatia akili kichwani na kuachana na kusupport upumbavu na ufisadi unaoangamiza nchi. Haya burudika na roho yako.

[

BAK,

Nitakipigania chama changu daima kwa kuwa naamini kuwa CCM ndio chama pekee chenye ajenda ya wazi ya kumkomboa Mtanzania na kumpatia maendeleo.

Ila kwa sasa tutete kuhusu burudani halafu baadae tukutane kule kwenye jamvi letu la mabishano.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Apart from Naija hits, kuna hii nyimbo moja kali mno ya bongo flavor lakini yenye mahadhi kama ya Naija, kwa jina siifahamu ila mmoja wa wasanii wake ni Nahreel pia kwenye chorus inaenda hivi...mbona una chelewa chelewa...

BAK, AmaniGK, Sikonge...
 
Mkuu HAMY-D nadhani unaitaka ile iloimbwa na Aika feat Nahreel inaitwa Mbona unachelewa.
 
Back
Top Bottom