NAIGERIA WAFANIKIWA KUREJESHA $700ML TOKA USWiSS

mafisadi wa tanzania ni werevu sana atapatiwa kasma yake atatulia kimya raha mustarehe,kwa tanzania jambo hilo sahau kabisa
 
Si serikali ya Nigeria ilikaa kiti kimoja na familia ya Marehemu Abacha wakakubaliana.

Nasi Tanzania tusibiri mpaka hao walioziweka watakapoitwa MAREHEMU.
 
Uongozi afrika ni ujambazi kwa jina zuri, na upo juu ya sheria. Serikali inamuomba jambazi arudishe alichoiba "EPA - Tz" kwa ahadi ya kutomfunga, inaomba familia ya marehemu wawaidhinishie kupata stahili ya wananchi "NGR". Wakati wananchi wanahaha kutafuta kitanda cha teremka tukaze wao wanalalia vya dhahabu "Zaire". Afrika bado tunahitaji mapinduzi, kama si ya kivita japo ya kifikra.
 
Back
Top Bottom