Naibu Wazri wa Elimu Mulogo Acha kuchanganya lugha

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Katika habari za EATV radio sasa, alikuwa akikemea vyuo fake na kutazalisha waliovianzisha watachukuliwa hatua kali sana

Sasa ndani ya maongezi yake kasema neno "PLAYSTATION yani ITHIBATI", na mengi kachapia kweli

Ushauri wangu waziri huyu, unapo address kwa umma jaribu kutembea zaidi na kiswahili tu, kazi unaweza sana tatizo matamshi yako tu.
 
Mmh lakini mbona nawewe unefuata mkumbo huohuo? Tena na lugha yenyewe ina makosa kibao, hebu angalia Hapa
-wazri-waziri
-Acha-acha
-kutazalisha- kutahadharisha

Kwa hali hii lazima umsifu kuwa anaweza kazi
 
hata wewe umechanganya lugha mbona?hapo kwenye ushauri wako kw waziri.
 
Mmh lakini mbona nawewe unefuata mkumbo huohuo? Tena na lugha yenyewe ina makosa kibao, hebu angalia Hapa
-wazri-waziri
-Acha-acha
-kutazalisha- kutahadharisha

Kwa hali hii lazima umsifu kuwa anaweza kazi

na wewe pia ni walewale..
Nawewe- na wewe
unefuata- umefuata
 
Waziri wa elimu mwenye vyeti vya kufoji! kidumu chama cha mapinduzi.
 
Mulugo ni kilaza kiasi kwamba hastahili hata kutukanwa na wana jamvi hili. achilia mbali kusifiwa. kutukanwa hastahili kilaza mkubwa huyu
 
Mulugo hata kazi ya u barmeid haiwezi maana utamtuma tusker lite briiiidi ( I love tusker lite ) yrye ayaleta safari ya moto halafu chenji sasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom