Naibu waziri wa tanzania (yeyote) analipwa bei gani kwa mwezi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri wa tanzania (yeyote) analipwa bei gani kwa mwezi??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andry surlbaran, May 30, 2011.

 1. a

  andry surlbaran Senior Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WATANZANIA WENZANGU,
  NAOMBA KUULIZA JE NAIBU WAZIRI WA TANZANIA (YEYOTE YULE IN TERMS OF WIZARA) JE HULIPWA BEI GANI UKIACHILIA MBALI MSHAHARA AS MBUNGE MAANA NINA BOSS WANGU BAHILI SANA AMBAE NI NAIBU WAZIRI KATIKA WIZARA FULANI AMEKUA AKINIZUNGUSHA KUNILIPA HATA MSHAHARA SASA SIJAJUA ANALIPWA BEI GANI


  KWA ROHO SAFI TU JAMANI NAULIZA MSINI ZODOE NA KUANZA KUNIULIZA source KWA VITU KAMA HIVI, NAOMBA MSAADA MAANA NIMEJARIBU KU GOOGLE SIPATI MAJIBU! HELP PLZ
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  24,000,000 take home, hapo sijaweka other allowances
   
 3. a

  andry surlbaran Senior Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 4. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kama unamdai si ana milioni 6 za ubunge kwa mwezi na kila semini anayokwenda au mwaliko ni laki 6
  lakini kama ni issue ya deni wewe komaa na za ubunge au kuna tatizo na hizo za ubunge?
  kama una mambo mengine sema,
  husijekuwa nyumba ndogo unasaka haki yako hapa kwa kutudanganya unadai na za ubunge hutaki, kumbe unazijua DR waukweli alishazilipua sasa unataka kuunganisha na za uwaziri
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaweza kumuuliza Mh. Mbowe ambaye ni KUB kwa kuwa kwa mujibu wa taratibu, KUB anapata mshahara sawa na Naibu Waziri.
   
 6. a

  andry surlbaran Senior Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  ha ha ha ha mi ni mvulana kaka in ma early 20's ha ha ha thank youu vikwazo
   
 7. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tumia lugha fasaha, bei gani ndiyo nini? bei huzungumziwa kwenye bidhaa au huduma siyo mshahara
   
Loading...