Naibu waziri wa serikali za mitaa Malawi (Godfrey Kamanya) ajiua nyumbani kwake

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Aliyekuwa waziri wa serikali za mitaa Malawi amejiua baada ya kupata taarifa za kushindwa uchaguzi mkuu.Kifo chake kimetokana na kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake.

Source: BBC Swahili, Habari Zilizotufikia hivi punde

My take: 2015 tutegemee mengi kwa mawaziri na manaibu waziri kujinyonga baada ya matokeo kuwa tofauti na mategemeo yao.

kamanya--e1357424900466-300x252.jpg

A Malawian minister has killed himself, police say, as results are still awaited from Tuesday's general elections.

Outgoing deputy Local Government Minister Godfrey Kamanya shot himself in his home, according to police.

His spokesman denied reports that his suicide was linked to him apparently losing his parliamentary seat.

Official results have not yet been declared in what was expected to be a tight presidential race.

The BBC's Raphael Tenthani in Malawi says the electronic counting system has broken down in some areas and votes are being collated manually in these places.

Mr Kamanya left a suicide note at his home in the capital, Lilongwe, asking President Joyce Banda to take care of his daughter and provide for her education, our reporter says.

Eleven candidates ran against Mrs Banda, but her main challenger is Peter Mutharika, the brother of former President Bingu wa Mutharika.

The Malawi Election Commission (MEC) will announce results when 30% of votes have been counted, its chairman Maxon Mbendera said on Wednesday.

The MEC was "not anywhere in the neighbourhood" of that figure, he added.

Counting was being done manually because the electronic system was "refusing to take the information from the ground where our data clerks are stationed to send the results," chief elections officer Willie Kalonga told the AFP news agency.

Source: http://www.bbc.com/news/world-africa-27515684
 
Aliyekuwa waziri wa serikali za mitaa Malawi amejiua baada ya kupata taarifa za kushindwa uchaguzi mkuu.
Kifo chake kimetokana na kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake.
Source.BBC Swahili,Habari Zilizotufikia hivi punde.
MYTAKE.
Tutarajie mawazi wengi wa serikali hii ya sasa kufuata nyayo zake maana dalili sio nzuri kwa chama tawala kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake na hivyo kuhatarisha nafasi za vigogo wake.
 
Hawa vivuli ndiyo nategemea watajinyonga Sana
 
Uzuri wa Tz ukikosa ubunge lazima pia uwazir utaukosa.ila bongo mteremko utapata Ubalozi,Ukuu wa mkoa so no problem.
 
Ukisikia tu kuwa hiyo electronic voting system inashindwa kukusanya data toka vijijini na kura zinahesabiwa manually ujue kuwa serikali iliyomadarakani inaelekea kushindwa na hivyo wanachakachua votes!!! Hizo mashine zilishindwa Kenya na Raila akaibiwa kura na sasa Malawi itakuwa hivyo hivyo na mwaka kesho magamba watalilia kutuamia hiyo biometric voting system ili wachakachue kura!! Wapinzani Tanzania lazima wawe macho kwa hili!!!
 
wa kwanza kujinyonga kwa matokeo mabaya kinyume na matarajio atakuwa MKOSAASSERT..
 
Ukisikia tu kuwa hiyo electronic voting system inashindwa kukusanya data toka vijijini na kura zinahesabiwa manually ujue kuwa serikali iliyomadarakani inaelekea kushindwa na hivyo wanachakachua votes!!! Hizo mashine zilishindwa Kenya na Raila akaibiwa kura na sasa Malawi itakuwa hivyo hivyo na mwaka kesho magamba watalilia kutuamia hiyo biometric voting system ili wachakachue kura!! Wapinzani Tanzania lazima wawe macho kwa hili!!!

Ni kweli kabisa!
 
Aliyekuwa waziri wa serikali za mitaa Malawi amejiua baada ya kupata taarifa za kushindwa uchaguzi mkuu.
Kifo chake kimetokana na kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake.
Source.BBC Swahili,Habari Zilizotufikia hivi punde.
MYTAKE.
Tutarajie mawazi wengi wa serikali hii ya sasa kufuata nyayo zake maana dalili sio nzuri kwa chama tawala kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake na hivyo kuhatarisha nafasi za vigogo wake.

Aisee umesema kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom