Naibu Waziri wa sanaa, Shonza umechemka kuwasimamisha kazi wasanii Giggy money na Suzan kinyume na ustarabu wa hekima

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Kwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere.

Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu seya na mwanae kisa tu mnataka kick ya CCM.

Lakini Leo kupitia TCRA umewapiga nyundo wasanii wa wawili wa kike kutoshiriki kazi za Sana'a kwa miezi 6 kwa matendo yao ya kuvaa vichupi katika kazi zao na kutupia picha za utupu mitandaoni. Nakuunga mkono lakini pia nakupinga kwa 100%.

Sheria ikishapitishwa pia huwa ina tarehe yake ya kuanza kutumika na huwa tunafanya hivi ili kulinda Hekima na Busara na kuwafanya wananchi wajitafakari upya kabla sheria haijaanza kazi na wao kuanza kujirekebisha.

Sasa unawapiga nyundo ya miezi 6 halafu vichupi hivyo wameanza kuvaa miaka mingi. Tulitegemea ungewazuia kuvaa hivyo kwanza kwa Filamu zijazo na matendo yao yajayo, busara ilitakiwa kuwashauri kwanza kuepukana na matendo hayo ili watakapo rudia baada ya sheria mpya Ndio wapigwe stop

Mh. Naibu Waziri Bi. Shonza sisi wasanii Sana'a Ndio maisha yetu, hatuna mshahara zaidi ya Sana'a. Wewe una mishahara miwili, mshahara wa mbunge na mshahara wa Uwaziri na posho juu, sisi hatuna hivyo. Ukitusimamisha gafla kwenye Sana'a tutakula wapi? Maana tunayoyafanya kwenye Sana'a sio tunayoyaishi Bali tunatafuta mlo wa siku.

Tunajua una mahaba na Babu Seya na Mwanae baada ya kutoka gerezani lakini huangalii sisi tutakula wapi na tunategemea sanaa. Tafakari tena halafu futa hiyo adhabu.

Mimi Deo Kisandu ni msanii pia nje ya siasa na jua magumu tunayopitia wasanii, je unataka Dada zetu wawe machangudoa? Maana sasa watoto wao utawalisha wewe? Mh. Shonza jaribu kutumia busara mdogo wangu. Nimesharejea Mwanza kazini shule zimefunguliwa nikitokea Kahama. Karibu Mwanza ule hata Sato na sangara.

Deogratius Nalimi Kisandu
7 januari 2018.
 
26229201_1843581752599102_875739953298931712_n(1).jpg
 
Kwako mtoa mada, unapaswa kwenda kuuzwa libya wewe, Pumbu.vu kabisa.
Hivi sanaa ni kuvaa nguo za hovyo hovyo? Acheni kutetea ujinga.Jinga kubwa wewe
 
Kwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere.

Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu seya na mwanae kisa tu mnataka kick ya CCM.

Lakini Leo kupitia TCRA umewapiga nyundo wasanii wa wawili wa kike kutoshiriki kazi za Sana'a kwa miezi 6 kwa matendo yao ya kuvaa vichupi katika kazi zao na kutupia picha za utupu mitandaoni. Nakuunga mkono lakini pia nakupinga kwa 100%.

Sheria ikishapitishwa pia huwa ina tarehe yake ya kuanza kutumika na huwa tunafanya hivi ili kulinda Hekima na Busara na kuwafanya wananchi wajitafakari upya kabla sheria haijaanza kazi na wao kuanza kujirekebisha.

Sasa unawapiga nyundo ya miezi 6 halafu vichupi hivyo wameanza kuvaa miaka mingi. Tulitegemea ungewazuia kuvaa hivyo kwanza kwa Filamu zijazo na matendo yao yajayo, busara ilitakiwa kuwashauri kwanza kuepukana na matendo hayo ili watakapo rudia baada ya sheria mpya Ndio wapigwe stop

Mh. Naibu Waziri Bi. Shonza sisi wasanii Sana'a Ndio maisha yetu, hatuna mshahara zaidi ya Sana'a. Wewe una mishahara miwili, mshahara wa mbunge na mshahara wa Uwaziri na posho juu, sisi hatuna hivyo. Ukitusimamisha gafla kwenye Sana'a tutakula wapi? Maana tunayoyafanya kwenye Sana'a sio tunayoyaishi Bali tunatafuta mlo wa siku.

Tunajua una mahaba na Babu Seya na Mwanae baada ya kutoka gerezani lakini huangalii sisi tutakula wapi na tunategemea sanaa. Tafakari tena halafu futa hiyo adhabu.

Mimi Deo Kisandu ni msanii pia nje ya siasa na jua magumu tunayopitia wasanii, je unataka Dada zetu wawe machangudoa? Maana sasa watoto wao utawalisha wewe? Mh. Shonza jaribu kutumia busara mdogo wangu. Nimesharejea Mwanza kazini shule zimefunguliwa nikitokea Kahama. Karibu Mwanza ule hata Sato na sangara.

Deogratius Nalimi Kisandu
7 januari 2018.
Wewe unapenda wawage uchi
 
Nasubiria nione kama wasanii flani watatajwa other wise Kuna uonevu na double standard
halafu watu kufanya kazi zao hadi raisi aseme....lakini pia sanaa ndo ajira zao nadhani adhabu ni kubwa sana ukizingatia hawajahi pewa onyo rasmi,
 
Kwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere.

Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu seya na mwanae kisa tu mnataka kick ya CCM.

Lakini Leo kupitia TCRA umewapiga nyundo wasanii wa wawili wa kike kutoshiriki kazi za Sana'a kwa miezi 6 kwa matendo yao ya kuvaa vichupi katika kazi zao na kutupia picha za utupu mitandaoni. Nakuunga mkono lakini pia nakupinga kwa 100%.

Sheria ikishapitishwa pia huwa ina tarehe yake ya kuanza kutumika na huwa tunafanya hivi ili kulinda Hekima na Busara na kuwafanya wananchi wajitafakari upya kabla sheria haijaanza kazi na wao kuanza kujirekebisha.

Sasa unawapiga nyundo ya miezi 6 halafu vichupi hivyo wameanza kuvaa miaka mingi. Tulitegemea ungewazuia kuvaa hivyo kwanza kwa Filamu zijazo na matendo yao yajayo, busara ilitakiwa kuwashauri kwanza kuepukana na matendo hayo ili watakapo rudia baada ya sheria mpya Ndio wapigwe stop

Mh. Naibu Waziri Bi. Shonza sisi wasanii Sana'a Ndio maisha yetu, hatuna mshahara zaidi ya Sana'a. Wewe una mishahara miwili, mshahara wa mbunge na mshahara wa Uwaziri na posho juu, sisi hatuna hivyo. Ukitusimamisha gafla kwenye Sana'a tutakula wapi? Maana tunayoyafanya kwenye Sana'a sio tunayoyaishi Bali tunatafuta mlo wa siku.

Tunajua una mahaba na Babu Seya na Mwanae baada ya kutoka gerezani lakini huangalii sisi tutakula wapi na tunategemea sanaa. Tafakari tena halafu futa hiyo adhabu.

Mimi Deo Kisandu ni msanii pia nje ya siasa na jua magumu tunayopitia wasanii, je unataka Dada zetu wawe machangudoa? Maana sasa watoto wao utawalisha wewe? Mh. Shonza jaribu kutumia busara mdogo wangu. Nimesharejea Mwanza kazini shule zimefunguliwa nikitokea Kahama. Karibu Mwanza ule hata Sato na sangara.

Deogratius Nalimi Kisandu
7 januari 2018.
Mbona hajamsimisha mdogo wake aliyeolewa na mwanamke/jike mwenzake na kaliwa denda live:
 
Back
Top Bottom