Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Mary Masanja

Nakumbuka zamani tulikuwa tunaweza kuorodhesha majina ya mawaziri wote bila kusita, hawa wa siku hizi nawajua wachache sana. Wengine kama huyu hata sikuwahi kuwasikia, ndiyo kwanza Leo.

Asante mdau Kwa kutujuza
 
Unaweza kulala waziri akiwa zabron' ukiamka waziri anaitwa msabaha wizara ileile.
 
Back
Top Bottom