Naibu Waziri wa Katiba na Sheria: Tuipe muda Katiba ya sasa

NAIBU WAZIRI (KATIBA): KATIBA YA SASA HAINA TATIZO, WANAOITAFSIRI NDIO HUTOA MAANA TOFAUTI

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo iangaliwe maeneo yanayokera ili iimarishwe, kwasababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri hutoa maana tofauti
-
Amesema Katiba hii ni kama Kitabu cha Dini ambapo kila mmoja akisoma huja na tafsiri tofauti, jambo ambalo linaleta mkanganyiko kwa jamii ambayo husikia na kuichambua vipengele vichache bila kuisoma
-
Pinda amesema "Naziomba Taasisi husika zinapopata nafasi zinapaswa kusaidia kutoa elimu kwa jamii juu ya Katiba iliyopo. Hiyo itasaidia watu kuelewa suala la Katiba na sio kutembea na vipengele viwili na kuvitafsiri
 
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri hutoa maana tofauti.

Pinda alitoa msimamo huo jana Machi 29, 2022 wakati akizindua magari mawili ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, iliyokabidhiwa kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kila siku katika maeneo mbalimbali nchini.

Pinda alisema Katiba hii ni kama Biblia au kitabu chochote cha dini, ambapo kila mmoja akisoma huja na tafsiri tofauti, jambo ambalo linaleta mkanganyiko kwa jami ambayo husikia na kuichambua vipengele vichache bila kuisoma.

Aliziomba taasisi zote zinazopata nafasi ya kuisemea Katiba kuwa zinapaswa kusaidia kutoa elimu kwa wananchi juu ya uwelewa wa Katibab iliyopo kwa sababu ni mwongozo wa masuala mbalimbali katika utendaji haki za binadamu.

"Naziomba taasisi husika zinapopata nafasi zinapaswa kusaidia kutoa elimu kwa jamii juu ya Katiba iliyopo, hiyo itasaidia watu kuelewa suala la Katiba na sio kutembelea na vipengele viwili na kuvitafsiri tofauti," alisema Pinda.

Alisema kama Katiba ingekuwa mbovu basi serikali ingeshindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, na kuwa ndio maana imejikita kutoa elimu kwa jamii uwelewa kuhusu Katiba iliyopo na mpya ambayo inazungumziwa.

Alisema serikali inatambua umuhimu ndio maana imeamua kukutana na wadau wa vyama vya siasa kujadili nao.

Chanzo: Nipashe
Naona somo limeshaanza kuwaingia.
Katiba mpya ni sasa
 
Ufipa hamtaka maneno yaliyoja hekima na busara mmezoea matusi ndio shida yenu,katiba iliyopo inatosha na kazi iendelee hakuna kingine huku mama akiupiga mwingi.
 
Katiba Mpya ni hitaji la wanasiasa wanaotaka kugawana madaraka.

Wananchi tunataka maendeleo basi. Inasikitisha sana kuona uongozi mbovu unaokumbatia mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

#kataawahuni
Hivi unajua kuwa Zanzibar ya Karume miaka ya uhuru ilikua na shilingi kubwa kuliko Dola na Pound ya Uingereza.

Zanzibaa Baada ya kujichanganya na Tanganyika yenye watawala waovu,wabinafsi ,wachoyo, waongo,wanafiki, wahuni, walevi, walafi, wasio na kiasi wahujumu uchumi ,wauaji , wasiomuogopa hata Mwenyezi Mungu ,wasiotii hata sharia za dini sembuse zile walizoweka wenyewe ili ziwape umungu ,Leo Zanzibar imekua maskini wa kutupwa Kwa sababu ya Kuwa chini ya Katiba isiyojali maendeleo ya watu zaidi ya watawala kuwa kama miungu.

Tunataka Katiba mpya itakayowafanya Watanzania wajiletee maendeleo yao wenyewe. Haya wanayoita maendeleo ni uhuni na mbinu za upigaji kupitia Tenda. Hivi kujenga ofisi ya mahakama yenye jengo la ghorofa mia Moja halafu ukawa na majaji Wala rushwa na wanaotumiwa kutoa hukumu Kwa ubatili ndio maendeleo.

Maendeleo Gani kwenye mitaala mibovu ya Elimu.
Leo hii watoto wengi Huko vijijini hawataki hata kusikia habari ya shule mana wanaenda kupata mateso kwenye shule zisizo hata na maji Wala choo na wanaomaliza shule madaraka kumi na mbili hawana ujuzi wowote hata wa kuongea kiswahili fasaha hawawezi achilia mbali Kingereza.
Hayo maendeleo ni yapi?

Unajenga Barabara za mwendo Kasi na Reli halafu hujengi nyumba za wafanyakazi wa hiyo mashirika unategemea kuwa yatadumu hata miaka kumi ijayo? Wafanyakazi wataiba ili kila mtu akajenge nyumba yake ya kuishi na familia yake huku shirika likijifia mbali .Ndiyo Tanzania inayojengwa na CCM Kwa miaka 60 ya uhara. Watu wamejawa na ubinafsi na unafiki bila kujali Elimu au Hali ya maisha.
Mwenyekiti mwenye Chama chenya wanachama kumi anasimama na kuisifia Katiba inayowaumiza wapinzani kila uchaguzi akitegemea kupata pesa HARAMU TU kutoka Kwa Watawala.Ndiyo Tanzania iliyojengwa na CCM Kwa miaka 60 ya uharo.
 
Tulia dawa ikuingie
 
Maendeleo hayaletwi na Katiba, fanya kazi.
 
Hayo anayoyasema Naibu Waziri Pinda in Yale Yale ya kauli za walioshiba,walioshiba huwa wanaogopa mabadiliko.Miaka takriban 8 iliyopita tulifikia hatua za mwisho mwisho za kuipata Katiba Mpya.Shughuli ile iliisha kwa sherehe na kuserebuka za wanaccm kwenye Bunge la Katiba.Kwa nini hakuna ndani ya CCM na Serikali yake anayeongelea hilo?
CCM wanaikwepa Katiba Mpya kwa sababu za ubinafsi wao na suala LA kuwa wananchi hawahitaji Katiba Mpya ni propaganda za siku zote.Kama ni kuweka viraka Katiba ya 1977 vimewekwa vile vinavyoisitiri CCM na watu wake.Vipengele vinavyowapa wananchi Haki havijadiliwi na wanaovidai wanafanyiwa hiyana na dola.
Katiba nzuri ni ile inayozingatia maslahi mapana ya wenye nchi na siyo maslahi ya watawala.
Na niwaombe Watanzania wote wanaojua kuwa Nchi hii ni Mali ya Mungu aliyeumbwa kila kitu na sio Watawala Wala Chama chao Cha CCM .

Madini yameumbwa na Mungu,Wanyama wameumbwa na Mungu ,Milima ,mabonde na mito vyote vimeumbwa na Mungu wapige magoti au wasujudu wamlilie Mungu na wamweleze kuwa " Ee Mwenyezi Mungu uliyetuumbia nchi yenye Utajiri na rasilimali nyingi na watu wapole na ardhi kubwa Sasa tunakuomba utoe hukumu juu ya watawala waovu wanaogawana Mali za umma Kwa urafiki ,undugu na kutumia mitutu ya Bunduki kuwanyamazisha wanaodai katiba inayozungumzia habari za haki ,utu,utawala Bora ,uzalendo ,tunu za Taifa ,miiko ya uongozi ,maadili mema, haki za wananchi kuwachagua viongozi wema na uhuru wa kutoa maoni yao . Watawala wanaowalinda wezi wa Mali za umma na kuwakandamiza wanyonge , watawala wanaojigawia mabilioni ya fedha huku wananchi wa chini walikosa mpaka mafuta ya kupikia chakula wakati wao wakiwa wanajazana Dodoma kwenye uhuni ,ufuska,ulevi , na kila anasa Kwa kutumia pesa za Kodi na kukwapua tozo kwenye mafuta miamala na mazao ili wadanganye watu kuwa wamejenga shule na kubaki wakiwa wanatukuzwa na kuabudiwa kama miungu Huku umaskini wa vipato vya watoto wako uliowaumba ukiongezeka. Ewe Mwenyezi Mungu ukawashushe mpaka chini mana wamejikweza na kubadili dhulma kuwa ndiyo haki na haki kuwa isubiri mpaka watakaposhiba na kuwarithisha wajukuu zao ambao hawajazaliwa. Wanasema asiyefanya kazi asile lakini wanaiba na kuwaweka watoto wao wachanga mabilioni ya fedha na chakula ambacho hata hawajawa na meno ya kutafuna achilia mbali mapesa kwenye Mabenki na mjumba. Ee Mwenyezi Mungu uwaulize watawala Hawa wanaopenda kuitwa wafadhili badala yako wewe kuwa Hao watoto wao wachanga wanaowawekea Mali zisizo na kifani ,je,wamefanya wapi kazi ,? Mana wanatuambia asiyefanya kazi asile. Wachague Moja kuwa wa kweli na kuacha unafiki na uongo na kusema wazi kuwa Katiba wanayoipogania ni Kwa ajili ya matumbo yao na watoto wao na sio Taifa.
Wamejenga Taifa la waongo wezi ,wanafiki, wabinafsi Kwa sababu ya matumbo yao yasiyoshiba hata Kwa kuwapa soko Zima mtu mmoja ale vyakula vilivyopo humo. Ee Mwenyezi Mungu simama mwenyewe ili wajue kuwa wewe ndiwe unayewapa uhai wa kukalia viti walivyokalia."'

Hakika Mungu atafanya jambo.

Samweli SITA alifurahiya sana kuhujumu Katiba ya Warioba akiwaza Uchaguzi na kuamini kuwa aliwafurahisha WanaCCM wenzake wanaowaza madaraka na maslahi lakini Mungu alijua Nini hasa anataka kifanyike. Mungu sio Kada wa CCM Wala ACT.
Akaja Mh. Hatati Magufuli akasema kuwa Katiba sio kipao mbele chake Bali Maendeleo huku akitumia katiba inayompa umungu na utukufu kuliko Mungu muumbaji. Mungu sio Kada wa CCM Wala ACT Wala Chama chochote.
Sasa awamu ya 6 chini ya utawala wa Chiefu Mkuu wa Kimila au Malkia wa Kitanzania wajue kuwa Mungu wanayemtaja sio wa kuchora au wa kuchonga kama picha zinazokuwa kwenye maofisi ya umma. MUNGU ANAYETAJWA NA DINI TUNAZOAMINI NI MUNGU WA HAKI NA REHEMA. HAFURAHII KUONA WATU ALIOWAUMBA WANATESEKA KWA SABABU YA KUWEKA MIFUMO MIBOVU YA KUPATA VIONGOZI. HAFURAHII KUONA WATAWALA WAHUNI NA WALEVI ,WAZINZI ,WALAFI,WABINAFSI , WE WAONGO NA WEZI WA MALI ZA UMMA NA WANAOJIKWEZA KUWA HAKUNA WA KUWAFANYA KITU MANA KATIBAINAWALINDA.
MUNGU HUYU ATAFANYA JAMBO KUBWA NA KATIBA ITAPATIKANA NA TAIFA LITAISHI KWA AMANI ,FURAHA NA WATU WATAPATA BARAKA MANA KWELI ITATAMALAKI NA HAKI ITALIINUA TAIFA.

Watanzania tusiwe na wasiwasi Hawa CCM na washirika wao Polepole alishasema wanategemea mizengwe ,uuaji,ushirikina na fitina kukalia maofisi. Wakati wa Mungu ndio Sasa. Mungu wa Eliah atajibu Kwa Moto.
Wenye kuweza kusoma albadiri wasome ,wenye kufunga wafunge ili Kumwachia Mungu awachape Hawa watawala wasio na shukrani.

Mungu tunakuomba umlinde Jaji Warioba , Butiku, na Jenereli Ulimwengu na uwape Afya njema washuhudie siku Moja Taifa letu likiwa na Katiba yenye misingi ya Haki na usawa na kuheshimiana.

Wale wote walikua wameshiriki au kupanga njama na kumuua Dr. Mvungi Kwa sababu TU ya alipigania katiba yenye misingi ya Haki sawa na uhuru Kwa watu wote basi damu yake ikawe juu yao na watoto wao na wajukuu zao Hadi kizazi Cha nne.
Na wale wote wanaotumia rushwa kuhujumu Nia njema ya Wananchi ya kupata katiba mpya nao pia waaibike.
 
Maendeleo hayaletwi na Katiba, fanya kazi.
Wapumbavu ni wengi sana Duniani ,
Hivi huoni kuwa Katiba ya Urusi imeporomosha uchumi wa Dunia nzima.
Na ujiandae TU mana miaka kumi ijayo nchi nyingi za Afrika zitapinduliwa na majeshi yatashika hatamu.

Vita ya Majirani ndiyo amani yako kama hujui. Ndio maana wagonga meza wanakula Bata TU huku walioshika Bunduki kuwalinda wakiwa wanaliwa na Bata. Ukiona mwanajeshi kajenga nyumba ujue ni Sababu ya Hali ya Kongo na Sudani .

Tafakari .
 
Na niwaombe Watanzania wote wanaojua kuwa Nchi hii ni Mali ya Mungu aliyeumbwa kila kitu na sio Watawala Wala Chama chao Cha CCM .

Madini yameumbwa na Mungu,Wanyama wameumbwa na Mungu ,Milima ,mabonde na mito vyote vimeumbwa na Mungu wapige magoti au wasujudu wamlilie Mungu na wamweleze kuwa " Ee Mwenyezi Mungu uliyetuumbia nchi yenye Utajiri na rasilimali nyingi na watu wapole na ardhi kubwa Sasa tunakuomba utoe hukumu juu ya watawala waovu wanaogawana Mali za umma Kwa urafiki ,undugu na kutumia mitutu ya Bunduki kuwanyamazisha wanaodai katiba inayozungumzia habari za haki ,utu,utawala Bora ,uzalendo ,tunu za Taifa ,miiko ya uongozi ,maadili mema, haki za wananchi kuwachagua viongozi wema na uhuru wa kutoa maoni yao . Watawala wanaowalinda wezi wa Mali za umma na kuwakandamiza wanyonge , watawala wanaojigawia mabilioni ya fedha huku wananchi wa chini walikosa mpaka mafuta ya kupikia chakula wakati wao wakiwa wanajazana Dodoma kwenye uhuni ,ufuska,ulevi , na kila anasa Kwa kutumia pesa za Kodi na kukwapua tozo kwenye mafuta miamala na mazao ili wadanganye watu kuwa wamejenga shule na kubaki wakiwa wanatukuzwa na kuabudiwa kama miungu Huku umaskini wa vipato vya watoto wako uliowaumba ukiongezeka. Ewe Mwenyezi Mungu ukawashushe mpaka chini mana wamejikweza na kubadili dhulma kuwa ndiyo haki na haki kuwa isubiri mpaka watakaposhiba na kuwarithisha wajukuu zao ambao hawajazaliwa. Wanasema asiyefanya kazi asile lakini wanaiba na kuwaweka watoto wao wachanga mabilioni ya fedha na chakula ambacho hata hawajawa na meno ya kutafuna achilia mbali mapesa kwenye Mabenki na mjumba. Ee Mwenyezi Mungu uwaulize watawala Hawa wanaopenda kuitwa wafadhili badala yako wewe kuwa Hao watoto wao wachanga wanaowawekea Mali zisizo na kifani ,je,wamefanya wapi kazi ,? Mana wanatuambia asiyefanya kazi asile. Wachague Moja kuwa wa kweli na kuacha unafiki na uongo na kusema wazi kuwa Katiba wanayoipogania ni Kwa ajili ya matumbo yao na watoto wao na sio Taifa.
Wamejenga Taifa la waongo wezi ,wanafiki, wabinafsi Kwa sababu ya matumbo yao yasiyoshiba hata Kwa kuwapa soko Zima mtu mmoja ale vyakula vilivyopo humo. Ee Mwenyezi Mungu simama mwenyewe ili wajue kuwa wewe ndiwe unayewapa uhai wa kukalia viti walivyokalia."'

Hakika Mungu atafanya jambo.

Samweli SITA alifurahiya sana kuhujumu Katiba ya Warioba akiwaza Uchaguzi na kuamini kuwa aliwafurahisha WanaCCM wenzake wanaowaza madaraka na maslahi lakini Mungu alijua Nini hasa anataka kifanyike. Mungu sio Kada wa CCM Wala ACT.
Akaja Mh. Hatati Magufuli akasema kuwa Katiba sio kipao mbele chake Bali Maendeleo huku akitumia katiba inayompa umungu na utukufu kuliko Mungu muumbaji. Mungu sio Kada wa CCM Wala ACT Wala Chama chochote.
Sasa awamu ya 6 chini ya utawala wa Chiefu Mkuu wa Kimila au Malkia wa Kitanzania wajue kuwa Mungu wanayemtaja sio wa kuchora au wa kuchonga kama picha zinazokuwa kwenye maofisi ya umma. MUNGU ANAYETAJWA NA DINI TUNAZOAMINI NI MUNGU WA HAKI NA REHEMA. HAFURAHII KUONA WATU ALIOWAUMBA WANATESEKA KWA SABABU YA KUWEKA MIFUMO MIBOVU YA KUPATA VIONGOZI. HAFURAHII KUONA WATAWALA WAHUNI NA WALEVI ,WAZINZI ,WALAFI,WABINAFSI , WE WAONGO NA WEZI WA MALI ZA UMMA NA WANAOJIKWEZA KUWA HAKUNA WA KUWAFANYA KITU MANA KATIBAINAWALINDA.
MUNGU HUYU ATAFANYA JAMBO KUBWA NA KATIBA ITAPATIKANA NA TAIFA LITAISHI KWA AMANI ,FURAHA NA WATU WATAPATA BARAKA MANA KWELI ITATAMALAKI NA HAKI ITALIINUA TAIFA.

Watanzania tusiwe na wasiwasi Hawa CCM na washirika wao Polepole alishasema wanategemea mizengwe ,uuaji,ushirikina na fitina kukalia maofisi. Wakati wa Mungu ndio Sasa. Mungu wa Eliah atajibu Kwa Moto.
Wenye kuweza kusoma albadiri wasome ,wenye kufunga wafunge ili Kumwachia Mungu awachape Hawa watawala wasio na shukrani.

Mungu tunakuomba umlinde Jaji Warioba , Butiku, na Jenereli Ulimwengu na uwape Afya njema washuhudie siku Moja Taifa letu likiwa na Katiba yenye misingi ya Haki na usawa na kuheshimiana.

Wale wote walikua wameshiriki au kupanga njama na kumuua Dr. Mvungi Kwa sababu TU ya alipigania katiba yenye misingi ya Haki sawa na uhuru Kwa watu wote basi damu yake ikawe juu yao na watoto wao na wajukuu zao Hadi kizazi Cha nne.
Na wale wote wanaotumia rushwa kuhujumu Nia njema ya Wananchi ya kupata katiba mpya nao pia waaibike.
Washindwe,walegee na wafariki kabisa.Kila mradi ni mfuko wa tozo na tuzo,mapato hakuna zaidi ya mikopo ya nje na ndani.Deni la Taifa linapaa huku wote tukishangilia kama mazuzu.
Kimsingi hii aibu tiba yake ni Katiba Mpya ila watawala walioshiba madaraka wanakataa kwa niaba ya wenye nacho.We have to Struggle hard to have Our Constitution no matter what.
 
Back
Top Bottom