Naibu waziri wa fedha Saada Mkuya Salim hawezi kuongea kiswahili vizuri

MussaBubu

Member
Dec 23, 2011
20
4
Akijibu maswali bungeni leo,Waziri huyo ameonekana kabisa hawezi kuongea kiswahili vizuri kwani hana tofauti na jinsi wanavyoongea watu ambao wamekijua kiswahili kwa kujifunza kama vile wazungu,yaani usipomwangalia usoni unapomsikiliza ni wazi utashtuka na kuhisi kwamba leo mzungu anahutubia bunge kwa kiswahili possibly ni mtanzania ila hajakulia hapa nchini na kama ni hivyo anayajua matatizo ya watanzania vizuri?
Nawasilisha.
 
Labda bado uoga maana mjengo ule kama hujauzoea siku ya kwanza unaweza kuongea hata kwa kichina. Huyu binti hana uzungu wowote. Kuna kipindi alienda kusoma Asia lakini sehemu kubwa ya elimu yake ni kaipata hapa bongo.
 
hebu tupieni picha yake hapa tuichambue tuone kama ana udhungu wowote ule hata kwa kumtazama tu!!!!! tupieni tafazali wajameni...nimesikia kama ana sauti tamu kiasi fulan ila cjamuona kwa sura anafananaje!
 
Watanzania bana!!! Yaani badala ya kusikiliza na kutupatia content wewe unaleta masuala ya lafudhi!! Twambie anaongelea nini, ukizingatia macho na masikio ya watz ni juu ya bajeti!!

Hili ni jambo la msingi, wewe unapata wapi mda wa kusikiliza lafudhi!!?

Sikutukani ila jirekebishe jamani!!
 
Mwacheni,tumpe muda bado mgeni na cha muhimu ni content na sio lugha.Angeongea Kilugha ingekuwa issue
 
hebu tupieni picha yake hapa tuichambue tuone kama ana udhungu wowote ule hata kwa kumtazama tu!!!!! tupieni tafazali wajameni...nimesikia kama ana sauti tamu kiasi fulan ila cjamuona kwa sura anafananaje!
.
IMG_1446--5.JPG

Mtego wa Noti Mbunge wa Kuteuliwa Saada Mkuya Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012​
 
Watanzania bana!!! Yaani
badala ya kusikiliza na kutupatia content wewe unaleta masuala ya
lafudhi!! Twambie anaongelea nini, ukizingatia macho na masikio ya watz
ni juu ya bajeti!!

Hili ni jambo la msingi, wewe unapata wapi mda wa kusikiliza lafudhi!!?

Sikutukani ila jirekebishe jamani!!

waziri wake naye anaongea 'kinyalukolo'
 
Kuna wanaokijua kiswahili vizuri lakini hawana chembe ya uzalendo kwa nchi yao hebu tumpe mama fursa....

bungeni tunao pia wanaozungumza kwa kikabila lakini wakiwa wanaongea kiswahili kama tumewavumilia hao yamkini huyu mama?

wapo wanatumia kiswanglish wakichanganya kiswahili na kiingereza nao tumewavumilia.

sifa kuu ya uongozi hivi sasa nchini ni uadilifu na uzalendo kwa nchi yetu si maneno ya mdomoni.
 
Akijibu maswali bungeni leo,Waziri huyo ameonekana kabisa hawezi kuongea kiswahili vizuri kwani hana tofauti na jinsi wanavyoongea watu ambao wamekijua kiswahili kwa kujifunza kama vile wazungu,yaani usipomwangalia usoni unapomsikiliza ni wazi utashtuka na kuhisi kwamba leo mzungu anahutubia bunge kwa kiswahili possibly ni mtanzania ila hajakulia hapa nchini na kama ni hivyo anayajua matatizo ya watanzania vizuri?
Nawasilisha.

Hukuna jambo lolote la maana la kutueleza kuhusu Bajeti? Lafudhi ni kitu gani cha msingi ujmbe ufike.
 
hizo ni swaga tuu.JK siju kaona masista duu ndo wa kuwajaza wizarani..mi nashindwa kuelewa hii serikali na tabia za kishkaji tutafika wapi
 
picha ya huyu mama ikiwekwa kwenye noti tutagombania ajabu itapendeza kama itakuwa kwenye noti za 10,000

Ningekuwa mwanamume ningeuuliza kama kaolewa au la????????????
Sii ulizia tuu kama kaolewa au?
Anyway,kaolewa na msela wangu fulani hivi wa pale vingunguti!
 
Mimi nafikiri badala kuuliza laf'dhwi au anaongea lakh'ja gani ni vizuri mwenye CV yake atuwekee hadharani tumuone kichwani kunani?
 
Sii ulizia tuu kama kaolewa au?
Anyway,kaolewa na msela wangu fulani hivi wa pale vingunguti!

"siijui cv yake kwa ukamilifu, ila huyu dada ni master's holder kutoka UK kama sikosei mambo ya economic. ni MKE wa watu na kaolewa hapa hapa Zanzibar na Mznzibari sio vingunguti kama unavyoeleza. ni kijana mdogo tu hata 35 yrs sifikiri kama anafika, akifanya kazi Wizara ya Fedha hapa Znz. sijamsikia hiyo lafudhi alotumia huko bungeni, ila ni dada anayejiamini, na muelewa wa mambo na mwenye msimamo"

Similar Discussions

Back
Top Bottom