Naibu Waziri wa Fedha hakuweza kuongea kama Mtaalamu wa Fedha mpaka Waziri wa Katiba anakuja kuongea kwa niaba ya Waziri wa Fedha

Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Bungeni mwana mama kwa kweli nimeshtuka sana, kwanza hakuweza kuongea kama mtaalamu wa fedha hotuba yote anasoma mbaya zaidi anasoma kama mtoto aliye darasani akijifunza kusoma.

Kuna faida kama naibu unashindwa kukaimu waziri ambaye hayuko bungeni mpaka Waziri wa Katiba ndio anakuja kuongea kwa niaba ya waziri wa fedha. Huyu mama kwa kweli hafit na hafai sasa baada kumsikia kwenye kusoma ni kama kaandikiwa anasoma bila kujuwa anasoma nini.
Kuna teuzi zingine au madaraka vinapatikana kwa ile habar ya..... xxx!!
 
Back
Top Bottom