Naibu Waziri wa Ardhi alalamika ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu Waziri wa Ardhi alalamika ITV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kumbakumba, Aug 13, 2012.

 1. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV,anasema alipokuwa ziarani Tanga,alikuta mtu asiemtanzania ameingia nchini na kujenga pwani ya Tanga bila kuwa na kibali cha ujenzi wala kibali hati ya kumiliki ardhi..binafsi nikashangaa sana Waziri anaehusika nayeye anashangaa inawezekana vipi hili kutokea na mwisho kwenda kwenye chombo cha habari kulalamika..nchi hii sijui inaelekea wapi?
   
 2. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hawa watu kwa kushangaa ndio kawaida yao, namba 1 aliwahi kuulizwa kwa nini Tanzania ni maskini akasema hata yeye anashangaa!!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hata Kikwete huwa anashangaa tu na hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati wa Mwinyi Watanzania walisema serikali iko likizo, sijui sasa wanasemaje kwa serikali hii ambayo inaona matatizo lakini wanabaki kushangaa shangaa tu.
   
 4. a

  andrews JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​viongozi wa ccm 99%ni vibaka na waongo wote ni wauzaji wa nchi yetu
   
 5. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wa kuchapwa viboko huyo waziri.
   
 6. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Ni matokeo ya kuwapa nyadhifa watu kwa kigezo cha ukada na uswahiba. Wengine ni vihiyo wa kutupwa. Kwa hiyo akilalamika msishangae. Ofisini kwake shughuli kubwa ni majungu tu, hana taarifa ya sheria, miongozo na utendaji wa wizara yake.
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mawaziri wa CCM kwa sasa ni "vivuli' (copy) tu.
   
 8. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ardhi wameboa mno kuliko wizara yoyote
   
 9. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,589
  Likes Received: 25,510
  Trophy Points: 280
  OMBI LANGU KWA CHADEMA mtakapoingia madarakani 2015 kama tunavyotarajia , KAMATENI MAOFISA WOTE WA WIZARA YA ARDHI hawa si wafanyakazi bali ni wauza nchi , kamata hata WAZIRI NA NAIBU WAKE ,watatajana mbele ya safari .
   
 10. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,589
  Likes Received: 25,510
  Trophy Points: 280
  WIZARA YA ARDHI NDIYO WIZARA mbovu kuliko zote , ikifuatiwa kwa karibu na WIZARA YA MAMBO YA NDANI , namba 3 ni WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA , ELIMU INATUFUNGIA 4 BORA
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2013
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Hembu mama Tibaijuka atuambie mwaka 2013 wizara yake imepokea maombi mangapi ya kuomba hati za umiliki ardhi,na IMETO AHATI NGAPI NDANI YA MWAKA HUO?Yaani kupata hati utafikiri unaomba kuingia peponi
   
 12. Mtuflani

  Mtuflani JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2013
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 323
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii wizara ni failure. Hadi leo bado watu wanajenga bila kupangilia miji huku nje ya mji kama walivyojenga tandale na wizara haifanyi lolote.
   
Loading...