Naibu Waziri wa Afya Dr Kigwangala kuwa busy na Twitter, muda unatoka wapi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Natambua juhudi za serikali za kutuletea maendeleo kutokana na juhudi kubwa za Rais, Dk John Pombe Magufuli kupitia Mawaziri wake. Aidha, tumekuwa na vyombo mbalimbali vya kutufikishia ujumbe wananchi.

Dk Kigwangala mm naona kama yuko bussy sana na tweeter.Kila nionapo alama ya message ya tweeter, lazima Kigwangala awepo. Nipo sehemu fulani, nafanya hivi, nipo na fulani, naelekea sehemu fulani, nitakuwa na mtu fulani....
Screenshot_2017-05-19-11-47-10.jpg
Screenshot_2017-05-19-11-43-38.jpg
Screenshot_2017-05-19-11-42-25.jpg
Screenshot_2017-05-19-11-40-02.jpg
Screenshot_2017-05-19-11-41-53.jpg
Screenshot_2017-05-19-11-42-08.jpg
 
Ni jambo zuri,nami nimejifunza kitu kwenye tweets zake,HK. Ni kati ya mawaziri vijana wanaoheshimu mamlaka,anajitambua,amemsoma boss wake na anakwenda kwa midundo yake. Hangera Dr Kigwa.
 
Habari ni haki yako acha kulalamika kila kitu. Kutweet hakuchukui hata dakika3 hao ambao hawatweet wamefanya nini cha maana
 
Ana kazi gani ya maana kama daktari. au hata huo uwaziri ana kazi gani inayombana mpaka asiwe na muda wa kupost! kama siyo porojo za siasa!
Madaktari wenye kazi ni hawa
upload_2017-5-19_6-13-57.jpeg
 
Yani kati ya wewe ulieandika gazeti humu na waziri HK ambae anatumia less than 5 minutes kutweet, nani anapoteza muda hapo!!??
 
Kweli chama chenu kuna watu wa ajabu sjawai ona nchi hii, akisema asijbu hoja mnasema, aksema ajbu mnasema muda kapata wapi, kumbe hata yule mliemuita bashite angekuja kujibu hoja mngesema kapata muda wapi. Bora kufanya yako unayoamini ni sahihi bila kuskliza yeyote
 
Bosi wake anachukia sana mitandao ya kijamii shauri yake, akitumbuliwa mimi sipo
 
Yani kuandika mistari mitatu minne nayo inacost muda gani janani! Anatoa updates kwa wananchi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukisema watumie job appraisal performance kulipwa salary litakuja wazo wanasiasa hawalipwagwi kwa mtindo huo.
Sorry guys, i was just dreaming!!
 
Umepata uhakika kuwa hana personal assistant? Ambaye anaweza kuwa na kazi hiyo? Unafikiri PS analipwa shilingi ngapi inayomshinda HK hata kwa private wallet yake?
Funguka, unafikiri Trump, Obama etc wana tweet wenyewe,? Mara chache sanaaaaa
 
Mtoa post nenda kafungue account ya Twitter ya rais wa USA ambaye ana majukumu mengi ujionee
 
Kazi yake kubwa ilikuwa kufunga taasisi ya MWAKA, amemaliza sasa anajipongeza tu.
 
Back
Top Bottom