Naibu waziri ni mshauri wa waziri, makosa ya utendaji ya waziri ni ya naibu wake pia. Makatibu wakuu

MWAKISALU

Senior Member
Nov 1, 2013
100
225
Ndugu zangu nashindwa kuelewa, kwanini ma-naibu waziri na ma-katibu wakuu hawajajiuzulu baada ya mawaziri kijiuzuri? Waziri kwa nafasi kubwa sana anategemea kushauriwa na naibu waziri na makatibu wakuu. Hivyo kuchemka kwa mawaziri ni kuchemka kwa hawa wengine. Sijui wenzangu mnaonaje uhusiano huo?
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,360
2,000
Ndugu zangu nashindwa kuelewa, kwanini ma-naibu waziri na ma-katibu wakuu hawajajiuzulu baada ya mawaziri kijiuzuri? Waziri kwa nafasi kubwa sana anategemea kushauriwa na naibu waziri na makatibu wakuu. Hivyo kuchemka kwa mawaziri ni kuchemka kwa hawa wengine. Sijui wenzangu mnaonaje uhusiano huo?

Waziri ndiye mwenye dhamana ya wizara kisiasa
 
MWAKISALU

Senior Member
Nov 1, 2013
100
225
Mtendaji mkuu ni nani ktk wizara? Je tukisema tuishie tu kwa waziri tutakuwa tunasolve tatizo ama la?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom