Naibu Waziri Mwita Waitara akagua kazi za ujenzi mkoani Mara

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua.

Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
IMG_20210416_230224.jpg
IMG_20210416_230204.jpg
 
Huyu mlevi mbwa alikuwa analewa kule Banana hadi anajikojolea. Mwendazake alituharibia sana nchi yetu
 
Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua.

Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kaziView attachment 1754070View attachment 1754071
Mbona unaweweseka mwanaufipaa. Nguja huyuu shujaaa akaierekibishe mara maaana wale makanjanja wenu walikalia maandamano na fujo zisizokuwa na tija kwa mnyongee. Chapa kazi waitara, tuteteee huko bungeniii
 
Watz tuache mambo ya kufanya kazi kwa ' kiki' na kuji'selfie', kuonyesha unafanya kazi ..hayo mambo yamepitwa na wakati...huu ni awamu ya 6!! Wananchi wanataka uonyeshe ' deliverables' na sio kitu kingine....
 
Back
Top Bottom