Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,381
- 24,979
Ndulane kashinda kwa kura halali.... Nikiwa kama mmoja wa Wasimamizi wa uchaguzi katika hilo jimbo nina uhakika kashinda kwa kura halali.... Ila kura za maoni ndani ya chama alipigwa chini, watu wakampa jimbo agombee wakamkata aliyeongoza(shida iko hapa).
Mungu anawaangaza mchana kweupe......!!!
Huyo kalazimishwa kuwa Mmbunge kwa KURA ZA WIZI ndo maana ameshindwa kula kiapo.?...!!!