johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,898
- 141,836
- Thread starter
- #21
Nahisi hii ni zaidi ya Kayumba!Tatizo letu St. Kayumba, confidence zero!...
Nahisi hii ni zaidi ya Kayumba!Tatizo letu St. Kayumba, confidence zero!...
Kumbe!Alishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri
Hiyo hutokea ukiwa na kiwewe, inaweza kumtokea mtu yeyote, halafu video iweke hapa
Itategemea na kabila lake ndio cv yakeKwa hyo atapewa nafasi tena au ndo imetoka?
Kama ni hivyo ipo shughuli pevuAlishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri
Kibarua kimeota nyasi.Hii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
Ndio mkuu huyo mama mzanzibari alirudia mara tatu. Uoga, uoga, uoga!I gree with you, confidence is more important than education. Nafuatilia ha matangazo mubashara.. Kiukweli huyu bwana katia haibu, ety kajitetea macho yanamsumbua ina maana hajui kuwa anatatizo LA macho akajisave na mawani..
Kuna mama mmoja ye anaongelea ulimini yeye kila mda "Anasema balaza la mpinduzi badala la mawaziri" katia haibu sana mpaka mawaziri wenzie wamemcheka..
Tujifunze kujiamini jamani.. Kijiamini kunaleta Uhuru wa maisha
Hajui kusoma loh
Kwani kampeni alifanyia porini?Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Aliwezaje kuomba kura jimboni kwake yuleKibarua kimeota nyasi.
!!!!Ukizoea kupita bila kupingwa, ni lzm pia uombe msaada wa kuapiwa