#COVID19 Naibu Waziri Mollel, kauli mbili tofauti juu ya "Chanjo" kwa Marais wawili

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Naomba nimkumbushe Naibu Waziri wa AFYA juu ya kauli zake mbili tofauti juu ya chanjo kwa marais wawili ndio zinazomfanya Askofu Gwajima alipuke na Kuwambia viongozi waache vigeugeu.

Wakati wa utawala wa Magufuli Naibu Waziri mollel alipinga chanjo
Wakati wa utawala wa Samia, Naibu Waziri Mollel anaikubali chanjo.

20210816_214717.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
YUKO SAWA💯%💪🇹🇿👍
"Only Stupid People Don't Change Their Minds"..😷😷.. Boutros Boutros-Ghali
Former Secretary-General of the United Nations
 
Misimamo huwa inabadilika hivyo hakuna cha ajabu labda angekuwa anakwamisha zoezi la chanjo kwa aina yeyote ile hapo ndio angetakiwa kujiuzulu, maana hata huyo Mama samia nae kabadili misimamo ya kuhusu corona alipoingia yeye ikulu.
 
Wanashindana na jpm eti kuua legacy yake ..kikundi kilichopo Ikulu leo ni hatari kuliko kile cha "tamir tigers"
 
Mh.Mollel aliwahi kuwa Mb.kupitia CHADEMA.
What do you expect from him...
Kauli mbili tofauti akiwa chadema na akiwa ccm
 
Inaonekana hii nchi weledi hamna,, watu wanafuata mawazo ya Mkuu wa chama....

Ugali unatafutwa bila shida
 
Ili Mh. Rais Samia Suluhu Hassan apambane na Covid ipasavyo na bila Wananchi kuhoji hoji maswali ambayo mawaziri waliopo wanashindwa kuyajibu ni bora akawapangia majukumu mengine Mawaziri wa Wizara ya Afya.
 
Chanjo inaondoa lockdown siyo?
Sasa sisi lockdown tunaisikia kwa majirani tangu Corona aje, Sasa mnatuletea ya Nini?

Je chanjo walikochanjwa Rwanda, Uganda mbona hazija waondolea lockdown,zaidi zimeongeza?
Waziri acha utani Basi.
 
Back
Top Bottom